zamani niko mdogo nilikua namsoma Ayoub Rioba. yule wa jana sio wa leo
2026-07-26 18:54:53
1
Kicheche Empire :
Nyie mlitangaza nini sassa
2026-09-09 11:42:26
0
MULLAH :
Hana point huyo’ haiwezekani watu zaidi ya 100 wamekufa, vituo vya kupigia kura vimechomwa alafu ukasema hamkua na kitu cha kuripoti. Haimaanishi mtete wachomaji au mtete polisi’ mnachotakiwa ni kutoa taarifa ya kila jambo linalo endelea
2026-07-26 11:29:25
0
malley pgm :
bro nani alikua hataki mazungumzo mbona una ruka ruka
2026-09-12 03:46:52
0
Raynor5575 :
nachoka mimi
2026-07-27 06:12:41
0
Strait f Hormuz :
2026-07-27 16:34:42
0
Gody adventure :
wale walee
2026-07-27 17:09:03
0
Abuu Madina :
nashindwa kuelewa
2026-08-30 13:24:20
0
SULE :
Mara sija wahi kupewa maelekezo, mara tena kila nilipo pewa amri nili kataa...
nani aliye kuwa akikupa hiyo amri.
2026-07-27 07:08:15
0
SmartLife Electronics Tanzania :
Uongo huo
2026-09-17 08:57:47
0
Mbeya frames :
😂💔 kaa kimya mkuu
2026-07-26 11:37:55
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.