@kikivibe360: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema endapo angepata nafasi ya kutoa neno moja la mwisho kwa Watanzania, angewataka wapambane ili kupata Katiba Mpya, na kwamba Watanzania hawapaswi kulegeza juhudi za kudai Katiba mpya, akisisitiza kuwa kuendelea kuipa kipaumbele ajenda hiyo kutasaidia kuhakikisha mchakato unakamilika chini ya uongozi wenye utayari wa kuutekeleza. "Ndio maana kama nina kitu cha kuwaambia Watanzania, ningeambiwa hebu Makamu wa Rais waambie Watanzania jambo moja tu nitasema Pambaneni mpate Katiba mpya, pamabaneni mpate katiba ambayo inamakubaliano ya wadau wote, Katiba yenye muafaka katika taifa, Katiba itakayotupeleka mbele miaka 50 inayokuja" Dkt.Nchimbi ameeleza haya Jijini Dar es salaam katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, na kwamba mjadala wa kupata Katiba Mpya umedumu kwa zaidi ya miaka 40, huku vuguvugu la kuitafuta likianza mwaka 1992. Amesema Serikali ya Awamu ya Nne ilianza mchakato wa Katiba Mpya, lakini changamoto iliyojitokeza ni kuwa madai ya Wananchi yalikuwa mengi na yalihitaji kushughulikiwa kwa pamoja. #DktNchimbi #trending #katibampya #samia #tanzaniantiktok

KIKI VIBE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
KIKI VIBE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 08:43:14 GMT
166218
6691
115
361

Music

Download

Comments

alfoncejohn
Alfonce John :
Get up Stand Up ,,,,,,,,,,,
2026-08-25 17:27:52
0
shamimuahmad
shamimu mkanula :
marehemu siku ya mwisho aliongea.......
2026-08-25 13:38:29
12
user981454614783
ever youngson :
baba toka moyoni mungu akupe maisha marefu
2026-08-25 19:43:41
1
chachamokale
chacha mokale :
mungu tupiganie kwa hili chimbi mungu awe nawe Miaka yote
2026-08-25 20:31:25
1
bakari.jaffari
Bakari Jaffari :
mweshimiwa ww ni mfano wa viongoz wa awali tunataman sana
2026-07-29 21:40:49
8
rodofaki0
rodofaki :
ikija katiba mpya vipi kihusu maslahi yetu wazanzibar yakoje
2026-08-25 10:28:39
1
husbandry30
mpitaji :
Yanga msimu huu haijasajilii wachezaji kwahiyo simba bingwa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-08-25 16:31:32
2
user617690063763
enga official :
mifumo iyo hamna lolote mpango n 2030 tu
2026-08-25 12:48:48
2
user8610781440026
One Kiduku :
saf saana mngu akubaliki sana kwakujal watu na kuwa mzalendo kwainchi yetu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2026-07-28 17:52:01
2
justinmzengi
justin james :
Nashindwa kuelewa, ila hizo ni plan zenu tuje tukupe kura wewe hakuna naushindwe kabisa nasipigi kura maana kupiga kura na kutokupiga yote ni yale yal
2026-07-28 12:37:45
4
shaban.mhina
Shaban Mhina :
Duh ya kweli hayooo kama kweli Ubarikiwe
2026-07-26 08:49:00
3
muddy.salehe8
Muddy Salehe :
asante sana baba yaseme eee
2026-08-06 18:34:19
2
edward.assenga1
Edward Assenga :
tumekuelewa
2026-07-26 12:21:15
2
hamispower583
Mansoury Power :
tumeshtuka
2026-07-28 19:17:53
2
user1768154290403
shaibu matemelela :
mbona katiba kwa Samia tu kwa magu mlikaa kimya acheni kuzingua katiba mali ya wa siasa
2026-07-30 21:42:00
3
yusuphpaschal2
Yusuph Pasco :
very nice
2026-07-26 23:37:22
1
hansisofa0716957877
hansi furnitures :
kweli mzee๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
2026-07-26 12:52:25
1
user6630752410987
user6630752410987 :
unafiki wauwaji hawa waloiba uchaguzi hawa leo wanateambia tupambane nao kudai katiba.
2026-08-01 13:53:47
2
omarisa967
Omar isa :
unajua kunabaadhi hawaelewi Nini kinafanyika raisi Samia yeye ndie aleitaka katiba mchimbi kishasema raisi kishakua na Nia
2026-08-12 20:22:07
2
user4816608316378
Richard daughter :
nikwwl unachosem bab mm imenitokea police kituo cha usalama wanapenda ela sana
2026-08-25 12:32:45
1
denice2180
denice :
asante baba
2026-08-25 21:18:41
0
mushehetogwa
mushehetogwa :
uko sawa mwamba
2026-08-25 22:53:58
0
mohamedynyonga
Mohamedy Nyonga :
iko. sawa
2026-08-25 22:51:14
0
sultan.rashid72
Sultan Rashid :
Mungu amlinde Rais wetu na Tz
2026-08-25 21:21:19
0
balloteli285
balloteli :
kwann asife
2026-08-25 21:58:20
0
To see more videos from user @kikivibe360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About