@irenebensoni2: #Mungu asante kwa kila kitu🙏

Irene Bensoni 🙏
Irene Bensoni 🙏
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 08:55:53 GMT
41485
3350
125
339

Music

Download

Comments

vickiekay
Queen_vee90 :
Very very very trueeeee!!
2026-07-27 08:48:19
1
goldeneggs38
Golden eggs🤍 :
damn it
2026-07-26 18:29:21
1
peternyagare
Pierre Zenoby :
absolutely.
2026-07-26 17:44:49
1
user7515387208414
new@happy :
E Mungu naomba niwe mzazi mzuri kwa watoto wangu
2026-07-26 20:03:25
12
nataviamdeel2
Natavia mdee :
nilikusikiliza ndo maana Niko iringa Baba yupo mtukula asante mwayaa
2026-07-27 09:30:53
4
user34097638ummuramadhan
ummu Ramadhan :
asante🥰🥰
2026-07-27 07:32:19
0
misveer2
miss vee💰🥰 :
exactly 💯
2026-07-26 19:38:09
1
razzinahbeib1
Razzinah bae😻 :
before nijue mamangu ni narcissist I suffered oooh🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️...yani mamangu anaeza kufanya adi ukajiuliza,is she really my biological mother???... ila nikaja mjua vizuri,sai haniambiii lolote likaniharibia amani yangu,I can even block him for weeks if am forced to
2026-07-26 20:16:24
6
innamorata619
innamorata619 :
mam angu n mam bola dunian mungu amlind anijalie niw kam yy 🥰
2026-07-26 21:37:03
7
queenbabe485
Queen Babe💞💕💕 :
Da fiona unamaneno mazuri sana Mungu akutunze🥰🥰🥰
2026-07-27 07:46:33
2
gladnesspanga
gladnesspanga :
I have testimony Mwaka 2022 My father aliwahi kunitamkia maneno magumu sana na kukataa kunisomesha nikaondoka nyumbani kwetu kabisa guess what nimesoma chuo,nimegraduate chuo na mpaka Leo sijawahi wasiliana nae na Kila nikiwasiliana nae tunagombana but nikikaa kimya nakuwa na amani nakuwa na amani kabisa Kwahy upo sahihi Dada Fifi
2026-07-27 04:14:02
6
janethgeorge480
janeth George :
Absolutly🥰
2026-07-26 15:46:08
1
dameyzanbeauty
Dameyzan beauty salon 💇 :
Mama angu ukimkatia simu ndio umemtibuwa 😅
2026-07-27 06:12:36
2
user526133598
sultana :
ushauri umekuja wakati sahihi
2026-07-27 07:11:06
2
nima_graphix2030
Nima graphix :
mi naomba ushauri kidogo sijui Nina shida gani ila Kila niliongea na mama yangu kwenye sim Huwa nikimaliza amani yangu hupotea haijalishi nimeongea nae Nini lakini nakosa amani baada ya hapo mpaka ipite iyo siku ndio nitarudi kuwa normal... hii shida ni ni jamani
2026-07-26 17:27:16
5
salama.yahaya6
salama Dosa :
Sister kweli mm nakuelewa hivyo vitu ni vya kweli
2026-07-27 06:47:55
2
nufayla.kheri
Latifa thabiti :
naomba weka sehemu ya kuichukulia hii video mana naitaji mm niliamua kukaa mbali na mzazi wang wakiume kwakuakataa laana zisizo na lazima
2026-07-26 15:33:18
6
miriamomary
miriamomary :
nimekupenda bure. asante sana. my wangu
2026-07-27 05:49:45
2
valentinebukanga9
~Valentine~ 💫 :
Kweli kabisa
2026-07-27 05:12:56
1
salma_grace2
Salma_Grace1 :
Amen
2026-07-27 06:13:00
1
djlawihd_talented
djlawihd :
nipate mwanamke kama huyu naoa kesho 😁😁😁😂😂😂
2026-07-27 00:19:13
1
best.mom698
Best Mom :
Eeeh Mwenyezi Mungu naomba niwe mama mzur kwa wanangu kama Mama yang alivo mzur kwangu❤️❤️🙏🙏
2026-07-27 07:52:17
1
charlsmakukumakuk
Charls Makuku (Makuku's) :
vip kuhusu fate yenyew nilijichagulia,,???
2026-07-26 21:44:43
3
user1632692114805
user1632692114805 :
umeongea ukwel wa hali ya juu Hebu Mungu akupe maisha marefuu kipenzi .
2026-07-27 06:23:14
1
user13424391736503
baby kayra :
Ndomana nimemsamehe mamaangu kiroho safi kuhusu watoto mungu nisaidie peke yang siwez nyie mliobaki nitawapokea kama mnavyokuja
2026-07-27 08:00:19
2
To see more videos from user @irenebensoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About