Prefrontal cortex kuthink na generate nervous pamoja na amygdales ni sehemu anxious, stress, motivation
2026-09-11 12:17:06
0
joh-clo :
nimegundua sikusoma kabisa
2026-07-26 09:10:53
1377
Chapa :
Mimi na Waalimu wangu hatuna Elimu😅😅😅
2026-07-26 21:20:34
901
davicy :
nilikuwa ivi ivi ila sahivi adi kiswahili naongea cha kisukuma🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
2026-07-27 09:33:40
323
Daniel dè Liquidity King :
uzuri wa maisha baadae hayahitaji lugha
2026-07-27 05:14:34
239
Mr Nobody :
Nimekuja kujua mm nilikua napoteza mda tu shule mmh😂😂
2026-07-26 12:03:23
372
فريعة|fRaE🧸🍃 :
Ko hawa tunafanya nao mtihani mmoja NECTA💔😂
2026-07-27 12:45:59
180
~peterson2🎮🏀 :
Kuhusu English Kuna yule jamaa wa ilboru alipiga Plasma physics me bado Sina uhakika kama yule chalii Tz😂😂
2026-07-26 10:12:11
278
Dyud... :
mwisho wa siku nilikutana nao kwenye supp
2026-07-26 13:22:25
530
vidy_ink :
mimi na walimu wangu tunahitaj kurud shule 😂,
2026-07-27 08:37:05
85
Zeymeen :
Nina Degree lakini sijaelewa kitu😂😂 nitafte hela nirudi shule😂😂😂
2026-07-27 03:02:49
106
HEISSILVER :
broo mbna xaxa hvii unaleta AI
2026-07-26 10:21:24
117
bi zaybn :
jaman tusome tusome jaman
2026-07-26 19:25:58
34
Cado🇹🇿 :
Mmh mbona mm nasikia roico roico tu 😂😂😂🔥
2026-07-27 20:03:52
6
Domic Graphix :
nimegundua Mimi sijui English ila najua kiswahili kilichochamka 🤣🤣
2026-07-26 13:21:54
68
jvanny :
(elimi ni ufunguo wa maisha) nazan awa ndo wanamiliki ufunguo aiseeee
2026-07-26 13:05:11
21
HASSAN :
IV MI NILOSOMA AU NILIKUA NAENDAKUANGALIA WALIM
2026-07-27 12:17:12
12
Glady🦋 :
Nilichogundua mimi na walimu wangu tulikuwa tunapotezeana muda
2026-08-04 06:57:42
14
Richard_MG :
nilimalz shule kumbe sukuhitimu😅
2026-07-26 23:21:23
12
crux_5052 :
Elimu ya secondary niliruka😅
2026-07-26 13:08:28
19
Mr Washington :
Wote tuliosoma shule za msingi za kayumba tulinyimwa elimu tulipofika sekondari. kumpa elimu mwanafunzi kwa lugha asiyoijua ni kumnyima elimu yake. Kijana hakikisha mtoto wako anaenda English medium schools.
2026-07-26 13:58:56
17
Kasongo Jr :
"thank you very much" ndo neno pekee nimeliokota hapo
2026-07-26 13:46:39
15
Feysal Mabango :
nimemsikiliza uyu dada kwa makini san yani nikaona hamumuelew ila huyu dada sijamuelewa na mimi pia asanteni
2026-07-26 20:29:02
17
amonidaimoni927 :
mbona kama AI jamani😁😁😁😁
2026-07-27 07:51:12
5
To see more videos from user @unicollegeshow, please go to the Tikwm
homepage.