@_nhtb_07:

Nguyễn Hữu Thanh Bình
Nguyễn Hữu Thanh Bình
Open In TikTok:
Region: VN
Sunday 26 July 2026 09:01:19 GMT
116
8
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @_nhtb_07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

BATIKI ZA MISHUMAA: JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI ZENYE UBORA WA JUU HATUA KWA HATUA Watu wengi huona batiki sokoni na kudhani ni kazi ngumu sana kuzitengeneza. Ukweli ni kwamba ukiwa na vifaa sahihi, malighafi zinazotakiwa na kufuata hatua kwa umakini, unaweza kutengeneza batiki zenye ubora mkubwa na kupata kipato kizuri. MAHITAJI YA KUTENGENEZA BATIKI ZA MISHUMAA • Vitambaa vya batiki • Sponji • Rangi • Sodium hydrosulphate • Caustic soda • Mshumaa • Sufuria kubwa • Beseni • Meza • Jiko • Mti mrefu VIFAA VYA KINGA • Gloves • Miwani • Viatu vigumu • Brush • Barakoa • Koti la kazi KAZI ZA MALIGHAFI MUHIMU Sodium Hydrosulphate na Caustic Soda Madawa haya husaidia kuimarisha rangi ili isichuje kirahisi. Yanafanya kazi kwa kushirikiana, hivyo moja likikosekana matokeo ya rangi yanaweza yasikuwa mazuri. Mshumaa Mshumaa hutumika kutengeneza michoro na mapambo kwenye kitambaa. Unaweza kutumia vibao au sponji zenye michoro ya tembo, twiga, matunda au urembo mwingine wowote unaotaka. HATUA ZA UTENGENEZAJI Hatua ya Kwanza: Uwekaji wa Mshumaa Yeyusha mshumaa kwenye jiko mpaka ulainike vizuri. Tumia sponji au kifaa chako cha kuchorea kugonga mshumaa kwenye kitambaa sehemu mbalimbali kulingana na mchoro unaotaka. Acha mshumaa ukauke kabisa kabla ya hatua inayofuata. Hatua ya Pili: Uwekaji wa Rangi ya Kwanza Chemsha maji vizuri. Chukua lita 3 hadi 4 za maji ya moto, ongeza vijiko 3 vya sodium hydrosulphate, vijiko 3 vya caustic soda na vijiko 2 hadi 3 vya rangi. Koroga vizuri. Ongeza lita 6 za maji baridi ili kupunguza joto na kufanya mchanganyiko uwe wa uvuguvugu. Tumbukiza vitambaa vinne vya mita tatu kwa wakati mmoja. Vigeuze geuze kwa dakika 20 ili rangi iingie sawasawa. Kisha suuza kwa maji baridi na uanikie. Hatua ya Tatu: Uwekaji wa Rangi ya Pili Baada ya kitambaa kukauka, yeyusha mshumaa tena na weka michoro mingine kwenye sehemu unazotaka kubaki na rangi ya kwanza. Andaa mchanganyiko mwingine wa maji, sodium hydrosulphate, caustic soda na rangi mpya. Chovya vitambaa kwa dakika 20, suuza na uanikie. NAMNA YA KUONDOA MSHUMAA Chemsha maji mpaka yachemke sana. Tumbukiza kitambaa kimoja baada ya kingine kwenye maji hayo ili kuondoa mshumaa. Tumia mti mrefu kugeuza kitambaa kwa usalama. Baada ya mshumaa kuondoka, suuza kwa maji baridi na anika kivulini. Kabla hakijakauka kabisa, piga pasi ili kuimarisha rangi na kuongeza mwonekano wa kitaalamu. Ukifuata hatua hizi kwa umakini, utaweza kutengeneza batiki zenye ubora wa kuvutia soko na kuongeza thamani ya bidhaa zako. Nina eBook yenye orodha ya wauzaji wa malighafi za Batiki, Mshumaa, sabuni, shampoo, mafuta  Kariakoo, pamoja na bei za jumla na mawasiliano yao. Itakusaidia kujua wapi pa kupata mzigo mzuri, wa bei nafuu, bila pigwa jua😊 na kupoteza muda kutafuta sehemu. Pata eBook hii kwa Tsh 10,000 tu badala ya 45,000.00 (Okoa Tsh 35,000.00 Nzima) Tuma Tsh 10,000 kupitia LIPA NAMBA VODA 55311685 BETASOKO Kisha tuma neno “eBook” kwenda WhatsApp 0682 712 916 kupata eBook ndani ya dakika 3.  #BiasharaYaBatiki #UjasiriamaliTanzania #MafunzoYaBatiki #betasoko

About