@sittas_homefood: Wake za watu huko popote mlipo mzingatie mapishi yangu humu๐ Hii ndizi jamani ilikua10/10 ๐๐ป๐ด๐ฟ๐ฒ๐ฑ๐ถ๐ฒ๐ป๐๐: ๐๐๐ช๐ญ๐ช๐ฌ๐ช ๐บ๐ข ๐ถ๐ฏ๐จ๐ข ๐๐๐ข๐ฏ๐ช๐ญ๐ญ๐ข ๐๐๐ฆ๐ด๐ช๐ค๐ค๐ข๐ต๐ฆ๐ฅ ๐ค๐ฐ๐ค๐ฐ๐ฏ๐ถ๐ต (๐ฏ๐ช ๐ฌ๐ข๐ฎ๐ข ๐ถ๐ฏ๐จ๐ข ๐ธ๐ข ๐ฏ๐ข๐ป๐ช) ๐๐ก๐ข๐ฃ๐ช๐ฃ๐ถ ๐ฌ๐ข๐ท๐ถ ๐๐๐ถ๐ฌ๐ข๐ณ๐ช ๐๐๐ช๐ฏ๐ค๐ฉ ๐ฐ๐ง ๐ด๐ข๐ญ๐ต ๐๐๐ฐ๐ค๐ฐ๐ฏ๐ถ๐ต ๐๐ช๐ญ๐ฌ ๐๐๐ฐ๐ค๐ฐ๐ฏ๐ถ๐ต ๐๐ณ๐ฆ๐ข๐ฎ ๐ช๐ฎ๐๐ฐ๐ต ๐ณ๐๐น๐น ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ผ ๐ณ๐ผ๐ฟ ๐ฝ๐ฟ๐ฒ๐ฝ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐ฝ๐ฟ๐ผ๐ฐ๐ฒ๐๐๐ ๐๐ผ๐ปโ๐ ๐ณ๐ผ๐ฟ๐ด๐ฒ๐ ๐๐ผ ๐ณ๐ผ๐น๐น๐ผ๐ ๐ฎ๐ป๐ฑ ๐๐ถ๐๐ถ๐ ๐บ๐ ๐ฝ๐ฎ๐ด๐ฒ ๐ณ๐ผ๐ฟ ๐บ๐ผ๐ฟ๐ฒ ๐ฑ๐ฒ๐น๐ถ๐ฐ๐ถ๐ผ๐๐ ๐ฟ๐ฒ๐ฐ๐ถ๐ฝ๐ฒ ๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐๐ @sittas_homefood @sittas_homefood
Sittaโs_homefood
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 09:15:40 GMT
Music
Download
Comments
anipherwella :
coconut cream zipo supermarket?
2026-07-30 18:06:38
0
Glued by dodoh :
Na waambie wawanunulie wake zao vyombo vizuri ๐
2026-07-26 10:43:51
313
Mary S Revo :
kama mme wangu naye kakuambia unifundishe ujue mwongo atakua anakutaka๐
2026-07-26 14:54:20
71
OFFICAL-CEMY :
na uwaambiee watched pesaa ya kutoshaa sio 10k anataka chakula cha recipe yako
2026-07-26 10:31:28
81
@hak tailor๐๐งตโ๏ธ๐ :
na uwaambie waache pesa ya matumizi inayotosha siyo wanaacha elf5 then watake vitu vizuri๐๐
2026-07-26 14:40:39
9
kidotysalma :
Ao wanaume mtoe mumewangu dada ๐๐๐
2026-07-26 16:51:20
2
beloved subira๐ :
wadada wa Sasa hivi sio kwamba hawajui kupika tyu hata uvuvi pia wanao maan kupika Kuna hitaji mda wao wanajua kuperuzi tyu mitandao ......nilikutana na gen z mmoja anasema mm tutaidizana na mume wangu kupika nikasema oooh my god hakuna mke hapa
2026-07-26 17:04:30
2
Ruelle Product :
Wow ๐คฉ
2026-07-26 14:56:21
1
Cherish :
Huwa nashindwa kuelewa kwann watu hawawezi kupika?inakuaje???
2026-07-26 14:39:25
1
bella_coco5 :
nilimpikia baby wangu mmja hivi,,aligomaa kula kabisaaaa eti ndizi gani zinasukari
2026-07-26 16:36:43
5
J.J โ โ โ :
sio vizur mnatutoa mate ๐๐๐
2026-07-26 15:38:34
1
Niho๐ธ๐งธ :
Me nikiolewa๐nitakufollow
2026-07-26 15:05:12
1
keih Mwanah@1 :
51/51
2026-07-26 15:10:16
1
conjetasilinu4 :
waambie hao wanaume pia wawe wanaacha na hela
2026-07-26 17:13:26
5
J.A.G.I.Y.A.๐๐บ :
tunaojua kupika hawatuoi๐
2026-07-29 08:09:38
1
Milo ๐ :
Huyu wangu mshamba jaman nkipika izo anasema Zina sukar sana apo nmeweke sukar na chumv kwa mbal nachoka mm ๐๐๐
2026-07-26 12:37:58
1
ุจุฏุฑู๐ :
Anza darasa Mimi kama mimi ata nifuate recipe mtandaon sipatii ๐ฅน
2026-07-26 14:32:10
5
๐๐ฒ๐ท๐ฝ ๐ช๐ญ๐ท๐ช๐ท :
Ndizi nazo za kufundishwa
2026-07-27 14:00:48
0
๐คEl_hud๐ฆ :
Ata km hatukudm aliramdi t utuletee ugomvi na wives๐คฃ
2026-07-27 19:12:22
1
Enna_shaynay :
Ndoto yangu ni kupata mume anaejua kupika๐ฅฐ. Au sivyo tutaagiza kiepe mpaka afurai
2026-07-28 14:45:35
1
๐Ummu Alhajj๐ :
Na helaa waache sio anaacha mia tatu anatarajiwa vitu vithamu๐๐๐mm binafsi nampkia Ugali kwa cabbage๐๐
2026-07-26 15:57:55
1
Zamsa :
mmewang hawez kusem ivo juu yakuw najua kupik na akil lazm asem mashallah mke wang chakul kitam ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-07-27 13:59:57
1
madame v :
Na uwaambie wakuongeze kama mke wa pili uwe spesho kwaajili ya kupika tu๐
๐
2026-07-26 20:52:40
1
ririshani :
Wambie na matumizi waongeze elfu tano haitoshi vyakula vizur ,,,,viungo vinauzwa sio bure sokoni๐
2026-07-26 14:24:53
1
Dawa_za_uzazi_wanawake :
Nitajaribu hii
2026-07-30 13:06:46
0
To see more videos from user @sittas_homefood, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.