@gifted.ellegance: Replying to @fatma.said531 Tunaumbuka tujirekebisheni#giftedtolift #giftedellegance #stopusingwomen #stopabusingthem#fearallah

GIFTED ELLEGANCE
GIFTED ELLEGANCE
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 26 July 2026 09:54:32 GMT
5032
163
34
35

Music

Download

Comments

zenaalmasi545
zenaalmasi545 :
😂😂😂😂😂😂🤣🤣thanks you so much 💓 my sister 💖 💗 umeongea point cn
2026-07-27 11:20:22
1
abu.hisham.almuha
Abu Hisham Al-muhajiry :
kweli kabisa lkn hekima muhim
2026-07-31 11:41:53
1
fatma.said531
Fatma Said :
thnk u for considarate my comment. ukweli hawautaki.. kujitetetea si wa kamilifu
2026-07-26 10:01:43
1
hadija.ali
Hadija ali :
very true💯
2026-07-27 08:18:53
1
damasjohn992
Ntagutuna :
Very sad
2026-08-27 12:11:51
0
rukia.salim1
Rukia Salim :
nikweli kabisa mashekhe na maustadhi wana balaa vibaya
2026-07-29 23:13:03
1
salmawaithera
sallu :
masheikh waogope Allah kikweli
2026-08-17 04:32:53
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
My dear sister, I pray to God that you find a righteous Muslim husband—a man of good character—who will care for you and your four children, and with whom you will find happiness for the rest of your lives, until the very end.
2026-07-26 21:09:10
1
user9812874370650
Subra :
kweli kabisaa wengine watumia dini kama ngao ya kuficha uovu wao
2026-07-29 09:49:22
1
kathis479
Kathis :
Viongozi Wa dini wameachana Na mafundisho ya Dini wanafuata ya Dunia and they do extreme until you wonder what is the problem.
2026-07-26 10:13:19
0
user2511179135054
e⚘️s🥀s💯y💕 :
hawabeti uweli siz wabie weli
2026-08-24 15:55:16
0
liz30193
liz :
100 %
2026-08-27 08:53:08
0
zahararamadhan699
zahara :
Nakupenda bure ucty
2026-07-28 09:10:19
0
user1265612291497
abdully :
lakini kwa taarifa hizo na shutma kama hizo sikuna vyombo vya sheria kwaajili ya kusimamia hakhi na kuna baadhi ya masheikh husababisha sheria za dini zisitumike dada pale ambapo waumini wanadai mahkama ya kaadhi ili kusimamia sheria za dini yao bac hukwamishwa na viongozi wa juu wa bakwata kama tz hapa sheria za kiislaam hazifanyi kazi kabisaa na had ndoa na talaka wameviachia mahakama za kiseculler wao wapo kwaajili ya maslah yao hawajui kuna wajane/mayatima/masikini/ hawana habari na bytulmaal wala nini kifanyike ili kuondoa madhila kwa jamii ya waislaam
2026-08-02 18:25:12
0
faridaseif
jamila jamili :
2026-07-28 06:41:26
0
zahararamadhan699
zahara :
nilikuwa nimemiss press yako
2026-07-28 09:29:35
0
zenaalmasi545
zenaalmasi545 :
😂😂😂swadakta nakuunga mkono dada
2026-07-27 11:13:10
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
Inasemekana kwamba mbuni anapokuwa na hofu, huficha kichwa chake ndani ya shimo... Tunapokosa ujasiri wa kukabiliana na kasoro zetu wenyewe, tunakuwa wabaya zaidi kuliko mbuni huyo...
2026-07-26 21:05:24
0
patenabahanidynasty
Nabahani Dynasty-Pate Island :
Sasa itakua shida, tutabaki bila shekhe,na Ustadh.Tutaongozwa na Nani?
2026-07-26 14:14:25
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
It is said that when an ostrich is afraid, it hides its head in a hole... When we lack the courage to confront our own flaws, we are far worse than that ostrich...
2026-07-26 21:04:45
0
collins.idah
IDAH. :
religion is a tool .....😂
2026-09-17 20:01:09
0
user1797773574761
Nassor Machano :
sema nayako
2026-08-09 19:14:28
0
aburuwayfii
Abu ruwayfii :
dada unapoongea usichanganye walimu hii tabia iko nahau walimu wenu wa maulid masufi wapiga ngoma miskitini. alafu itengue kauli yako eti masalafi niwatu wa jihadi .acha nikwambie watu wajihadist hau nimakhawaarij ambao wanaichafua dini lakini masalafi niwatu wasunnah ambao wanafuata mwenendo wa mtume bila kuzusha na pengine nikupe tu majina ya mashekhe wakisalafi ahlisunnah wal jamaa ili uweze kuwatafuta kwa you tube ili ufaidike nao 1, kassim mafuta 2,abu hashim 3,abdallah humeyd hawa kwa kifupi nikatika miongoni mwa wale wanaofunza dini kisawasawa na utaserch ila utoona sura zao kwaio kama masufi wamekuchanganya ni hao wenu soma dada بارك الله فيك
2026-08-06 04:17:52
0
arafathajjumrahservices
user21208844745 :
masalafi kuna ujumbe wenu ukuu
2026-08-01 10:25:01
0
user2237785281433
user2237785281433 :
Acha kudhalilusha watu ww
2026-08-07 11:33:50
0
To see more videos from user @gifted.ellegance, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About