MUNGU ANAABUDIWA POPOTE, UNGESHAURI TU WATU WAENDE KANISANI BILA KUBEZA NAMNA WATU WANAVYOMPA MUNGU UTUKUFU, ILA UPO sahihi
2026-07-26 14:37:00
8
Meckius Simbeye :
una kituu
2026-07-26 14:58:51
0
k£!!¥f○rd096🤍 :
daaah?! respect Sana bro🙏🫡🫡🫡🔥
2026-07-26 14:31:43
0
𝕀ℙ𝕄 🌐 :
Kuna watu wanatumia mitandao ili kubariki na kuwa kumbusha watu kuwa Kuna kusoma bible au kuruhani hata kama yy anakosea lakin yeye ukweli wa neno anaujua
2026-07-26 14:46:23
6
Venny :
Umenena
2026-07-26 13:50:57
0
Gwiji boy 👑✅ :
UPO SAW KWENYE KUSEMA MUNGU ADHIHAKIWI LAKN WATU KUMTANGULIZA MUNGU KWA KUTUMIA SOCIAL MEDIA SIO KOSA PIA INAWAKUMBUSHA NA WENGINE❤️
2026-07-26 15:26:47
1
MAN OF GOD 💫🇹🇿 :
nimecheka kaka
2026-07-26 10:16:32
1
JAJILA BACKUP✝️ :
sawa kaka hata kama una waelimisha lakini,, usiseme vinyimbo vya ,, nyimbo za 🙏
2026-07-26 11:24:53
0
mwanamasala :
unaemuona Leo kaanguka mshauri so kumponda hujui kesho muombee Leo anguko lake kesho lako do maana kuwa mungu akatuweka wema na wabaya Leo wema wanaokoka kesha wema wanakuwa wabaya sote njia moja ya kwenda Kwa bb
2026-07-26 14:43:45
0
dr lovie :
tupost lakini pia tuende ibadani
2026-07-26 11:54:39
6
plumber boy :
ujumbe umewafikia kaka
2026-07-26 13:39:50
0
Music Clips🎶 :
nmekuwa wa kwanza naomben likes 😁
2026-07-26 10:38:25
2
AllJoshua :
sasa wewe umepost wapi kama sio mtandaoni?
2026-07-26 18:08:03
0
priss :
wa kwanza leo🙏🙏🙏
2026-07-26 10:15:36
0
Mrisho j :
nakukubali sana kaka
2026-07-26 10:19:46
0
Tatu Salum :
Saw tumekuelew
2026-07-26 17:26:16
0
handsome rey :
😂🤣🤣🤣🤣🤣 nachoka mim ila kweli
2026-07-26 17:39:59
0
Rahma Tweve :
si.bora anae post nyimbo za din je wale.wanaopost miili yao ikiwa mitupu unasemaje
2026-07-26 18:35:13
0
Samweli :
Luka 12:31>Bali utafuteni Ufalme wa Mungu,na hayo mtaongezewa.🙏🙏🙏🙏
2026-07-26 17:05:53
0
user6650628283675 :
nimependa bule Shikamooooooooo kaka
2026-07-26 18:33:16
0
ag108g/mol :
daah leo umeongea point kaka daah
2026-07-26 18:16:30
0
Caroline Mushi :
pls tumia hii nafasi kutangaza Habar kuhusu injili
2026-07-26 18:35:53
0
Samweli Mwandu :
Hakika brother
2026-07-26 17:07:35
0
rachel rr :
eeeh nashindwa kuelewaaa🤣🤣🤣🤣
2026-07-26 17:23:55
0
To see more videos from user @kenny_lifeteller0, please go to the Tikwm
homepage.