Hivyo yaan Allah atupe nguvu tuzidi kuwa imara inshaallah 🙏🙏🙏
2026-07-26 10:34:26
1
jogaya :
Nakubali kaka Safi sana
2026-07-26 13:02:53
1
ossama :
Nakukubali Mdogo Wangu Unafanya Kazi Nzuri Sana Kuuza Viwanja Na Kushauri Fedha Haiwekeki Kabisa Na Kesho Haieleweki Iko Vipi Tujenge Ili Kesho Tuishi Kwa Raha.🙏
2026-07-26 11:39:08
1
tupendane❤️ :
mkubwa mkubwa ee huyohuyo
2026-07-26 11:07:04
1
dalali chanika magenge20 :
kabisa bro
2026-07-26 11:03:37
1
👑official loukangtz☑️ :
FACT
2026-07-26 16:02:49
0
CHAMlDEKO🤲♥️ :
fact
2026-07-26 13:43:56
0
Bint chiccotz1🇹🇿 :
Kweli kabisa
2026-07-26 18:37:49
0
Kombo Fakihi :
mkopo unptkana
2026-07-26 16:04:50
0
YFM :
watt nao wanakuja kuuza kwa bei rahisi😂😂
2026-07-26 15:41:12
0
Tausibahatisha :
kabisa kaka hapo kwenye ndugu ongeza sauti,hacha nipambane tu gulf 💪mpaka nipate🏘️
2026-07-26 16:16:35
0
ossama :
Nakufatilia Sana Sana Kwenye Kazi Zako Za Kila Siku
2026-07-26 11:40:05
1
Zubery MsaBha :
Mbon msingi ume nyanyuk sana mkuu harfu naon hmn mlima
2026-07-26 19:51:23
0
mwanaamis :
🥰🥰🥰
2026-07-26 14:26:12
0
To see more videos from user @enetiago, please go to the Tikwm
homepage.