hakuna kuzini bora sheikh sahihisha kauli hio , KWANINI USISEME KUZINI NA MKE WA MTU DHAMBI YAKE NI KUBWA ZAIDI KULIKO KUZINI NA WANAWAKE 10 🥺 lkn bora akhui badilisha tamshi hilo kuna watu wana akili mzito akizini na akija kuseme nilimskia fulani anaongea, mungu anasema kila kitu tunakiandika katika kitabu 📌🙏
2026-07-26 21:36:23
29
IBRAHIM ALLY AL-ABBAD :
yakhe hy ni hadithi dhaifu
2026-07-26 16:09:07
13
MBULANGO TZ@ :
unamkubali sana shekh kishk mana unaiwezea adi saut yake mashallah
2026-07-26 15:01:05
33
tozz :
kumbe kuzini ni bora
2026-07-26 15:51:56
7
papinho 🫠 :
acha kusema kuzini na wanawake kumi ni bora
hivi kuna kipi unatufundisha jamii
2026-07-27 13:42:32
4
mamy :
Kwaio kuzin namume wamtu sio zambi
2026-07-27 07:31:46
2
reycute :
je na mm nilozini na mme wa mtu🥺🥺🥺inakuaje xhekhe
2026-07-27 12:47:18
2
CRT WIZARD. :
wanawake 10 mpoooo
2026-07-27 15:43:58
0
Abdul m❣️💞💕💖💘 :
usitie ubora kuzin na mke wa mtu ni vby na kuzin na alie kua sio mke wamtu pia nivibaya vile vile
2026-07-26 17:42:10
4
sufy sela new forc :
mm nime zini nifanyeje
2026-07-27 18:43:15
1
ANAFI HR :
akuna zinaa ilio luhusiwa
2026-07-27 18:22:51
0
adammsuya001. :
bora tena
2026-07-27 09:07:34
1
Haytham Iddy :
mungu wangu me nishawah na mume watu kwahy Ina kuaje apo shee
2026-07-27 12:50:37
2
EYSHE :
subhananllah allah atujaalie mwisho mwema
2026-07-26 14:27:03
15
aminata :
mungu atusamehe sisi waja wake
2026-07-29 10:51:28
2
@wido prince :
Punguza sauti basi wengine tupo ear phone
2026-07-26 16:15:38
0
seaco. :
oyaaa weeeeee hiyo hadith yako ni dhaifuuu
2026-07-26 17:28:08
2
Esha :
subhanallah
2026-07-26 17:29:02
1
Juma Badizo :
mungu atusamehe na atupe mwisho mwema
2026-07-27 13:57:16
1
pounce :
HAKUNA KUZINI KULIK9 BORA
2026-07-27 10:21:49
2
Mudy Ramadhan :
Allah atuepushe na zinaaa
2026-07-26 17:00:42
1
kalm :
yarabbi tuebushe na zinaa
2026-07-26 12:33:38
4
DULLY TZ 🇹🇿 :
Nikikumbuka tumesoma pamoja pale mwongozo na hii sasa unanipa darasa na nakuelewa nafurahi sana kusoma na mtu kama ww inshallah mungu akuongeze kwenye hiyo njia njema kaka
2026-07-27 09:47:07
1
kuluthumu majidi :
mngu atuepushe na zina
2026-07-26 17:09:27
2
amaynah23 :
Mke wa mtu nae anasemaje….na kuzini na mume wa mtu je shekh
2026-07-26 18:00:10
2
To see more videos from user @fadhili.awazi, please go to the Tikwm
homepage.