@oceomy: Watu tuweni makini sana na hivi vinywaji. Kampuni ya Serengeti take this as a positive criticism. No bad vibes. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #beverages #serengetibreweries #viralvideo
Tafuteni mwanashria mnaweza lipwa fidia cus inaweza Leta shida ya food poison
2026-07-27 04:36:40
105
DEE MONEY💸❤️ :
Ndo maana ukinywa kesho yake unahrisha🥺🥺
2026-07-27 07:11:53
33
shirimacresanta :
ndo maana mimi nakunywaga k vant na konyagi kumbe naepuka vingi
2026-07-27 07:58:15
13
@123456 :
Various liability ☺️☺️
2026-07-27 07:58:21
0
David Jackson ☝️☝️ :
sio uchaf n food test
2026-07-27 06:28:17
0
GeeMaro :
🥹🥹🥹
2026-07-27 07:58:37
0
RUQAYYAH✂️ :
𝕋𝕦𝕤𝕚𝕠𝕜𝕦𝕟𝕪𝕨𝕒𝕒 𝕜𝕒𝕓𝕤𝕒 𝕥𝕦𝕛𝕦𝕨𝕒𝕟𝕖𝕖𝕖𝕖
2026-07-27 08:31:38
7
mctoshy🫣 :
donoghue v stevenson case 🤣🤣
2026-07-27 08:02:03
0
Gwan :
Kwan hamjui kuna tunda
2026-07-27 08:43:09
1
roty0624 :
mkipata mwanasheria mkawashitaki kampuni la serengeti lazma watawalipa fidia
2026-07-27 05:51:00
7
🪷⚘️ŊỌŁVỊĄ🌺🌷 :
kwan ulinunua kiwandani ama dukan
ningependa kujua
2026-07-27 08:51:51
0
Wahda :
hangerover bhana😁😁😁😁
2026-07-27 03:38:58
0
Mndewa11 :
Uwe unafatilia kabla ya kulaumu hiyo ni challenge wameanzisha Serengeti, ukipata chupa yenye hiyo utando peleka utando na kisoda dukani unapewa bia nyingine 3 mimi juzi nimeshinda tisheti kupitia huo utando