@bundalah.dec.e.o: Au nirudi zangu shule tuu 🤣@wasingwa #all #followers

Bundalah De C.Ê.O ♍
Bundalah De C.Ê.O ♍
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 11:56:49 GMT
50825
2826
166
158

Music

Download

Comments

mzeeashanti
mzeeashanti :
n=8 or n= -8
2026-08-02 03:30:49
4
user3814393416694
martha😍😍😍 :
mbona apa naelewa shule nilikua sielewii!!??
2026-07-26 12:12:33
37
zayfarabass467
Cute zareen☆😍 :
Mwalim wng popote ulipo hujanfundish hiv me nngefaulu uzembe wako mwalim
2026-08-02 07:16:42
10
_kwevo21
_kwevo :
iyo 8 umeipata wapi😂??
2026-07-31 12:50:15
4
mirand523
miranda-cosovou :
yani ni rahisi sjui fimbo zilikua zinanichanganya🤣
2026-07-31 09:29:30
4
makaveli_0123
makaveli :
n=8 or -8
2026-07-26 19:07:39
1
jamesbixlu4
Jimmy :
hapo kwenye hii na hii inaisha ndo walikuaga wananiacha sema namba gan na gani zinaishaje na kwann..kama ni kugawanya onyesha namba ipi na ipo zinagawanywa Hadi zinaisha kwa watoto ni very confusing especially wenye akili sana maana wanakuwa wanaeplore Hadi possibilities ambazo hazipo wakat ww unasema hii na hii inaisha..
2026-07-26 12:18:38
2
tonjerry3400
kinboytz :
shida ya hesabu mfano una elewa vizur maswali Yana toka kama uja fundishwa mfano na maswali yakuwa tofauti
2026-08-01 20:43:42
5
dukenataly
Duke Nataly :
Kesho utufundishe maarifa ya jamii🤣🤣
2026-07-28 19:01:13
5
godfavor999
God’s Favor :
Au nirisiti ule mtihani wangu wa form 4 wa maths 😂😂😂
2026-07-26 13:51:10
7
richhassani23
debitboy :
wazazi tushirikiane na mwalimu tusikwepe kwa manufaa ya watoto zetu😁
2026-07-29 05:38:46
1
samiahassan217
Samia🦋 :
Mwalimu uko api nikuletee binti yangu
2026-08-01 08:55:20
1
neemamhina
maumau :
nikiitwa interviews utumishi nakutafuta popoteee ulipooo 🙌🙌
2026-07-26 18:10:45
1
eva.elson
Eva elson :
hiii naiweza
2026-07-28 07:21:32
0
o_s_a_k_a_
O_s_a_k_a_ :
Tatizo enzi zetu walimu walikuwa wanachapa viboko kuliko.
2026-08-02 07:34:11
2
winibritha
winibritha :
mm narudi shule hata kama mzee nikatoe ile F
2026-07-28 10:20:51
1
hbo2780
habiba omary 💞 :
Kwan nilifelije🤣🤣🤣
2026-07-27 06:24:38
0
patra_ur
🦋Cleopatra🐾 :
Unanipa hasira tuh
2026-07-28 05:34:57
0
sisahau.faki
Sisahau Faki :
,naendelea kusubiri video zako zinanisaidia sana
2026-07-31 12:07:13
1
user14903176612811
linna :
kwann isiwe thaman ya x
2026-07-26 20:09:17
1
mkwayu05
Mkwayu :
we mwalimu jau sanaa 😂😂😂😂
2026-07-28 19:27:15
1
jeplas.asher4
Jeplas Asher :
ngoja Niku follow tu
2026-08-01 08:59:34
0
iamney1
miss_ney🌹 :
tiktok ingekuja mapema nisingefail math😅
2026-07-26 13:54:12
1
catherinemalul8
ZANAYA 🌹 :
Sijui nilikua nakisaje sasa 😂😂😂
2026-08-05 11:56:49
0
mery.temu
Mery Temu :
Yan rahis
2026-07-27 21:32:14
0
To see more videos from user @bundalah.dec.e.o, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About