@mt.rita_wa_casia: SALA YA SAA TISA NA ROSALI YA HURUMA YA MUNGU 🟤🟤🟤🟤🟤🟤🟤 *SALA YA SAA TISA* 🟤🟤🟤🟤🟤🟤🟤 ✝️Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. A mina Yesu, ulikufa, lakini chanzo cha uhai kilitoka kwa ajili ya watu, na bahari ya huruma ilifunguka kwa ajili ya ulimwengu mzima. Ee chemchemi ya Uhai, huruma ya Mungu isiyo na mwisho, ikafunika ulimwengu mzima na ukajimwaga mwenyewe juu yetu. 🛐Ee Damu na Maji, yaliyotoka moyoni mwa Yesu kama chemchemi ya Huruma kwetu. Nakutumainia. *(Mara tatu) 🟤🟤🟤🟤🟤🟤🟤 *ROZARI YA HURUMA YA MUNGU* 🟤🟤🟤🟤🟤🟤🟤 ✝Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.... Tumia chembe za rozari ya kawaida au Rozari ya Huruma ya Mungu *🛐Sali Baba Yetu Mara x1* Baba yetu, uliye mbinguni Jina lako litukuzwe, ufalme wako ufike, utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea. Usitutie kishawishini bali utuopoe maovuni. Amina. *🛐Sali Salamu Maria Mara (1)* Salam Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. 🛐Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, mwumba mbingu na dunia. Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu; aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka katika wafu; akapaa mbinguni; amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, uzima wa milele. Amina. *🛐Kila penye punje kubwa* Baba wa Milele, ninakutolea Mwili na Damu, Roho na Umungu, wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, kwa malipizi ya dhambi zetu, na za dunia nzima. *🛐Kila penye punje ndogo* : Kwa ajili ya mateso yake makali..... Utuhurumie sisi na dunia nzima. *🛐Mwisho wa Rozari* *sali mara tatu (3)sala ifuatayo* : Mungu Mtakatifu, Mtakatifu mwenye Enzi, Mtakatifu Usiyeweza kufa...... Utuhurumie sisi na dunia nzima. #prayers #rozary #catholictiktok #relatable #tiktoktanzania🇹🇿
Mt. Rita wa casia
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 12:29:56 GMT
Music
Download
Comments
aggie nelly kaiv :
have mercy on us and unto the whole world
2026-07-29 13:01:22
1
aimé masika :
amina
2026-08-04 19:55:29
2
vein omeka :
Amen🙏
2026-08-03 09:05:42
1
mama africa :
Amen A
2026-08-11 20:50:54
1
Emmanuel Naparan :
Asante mungu.
2026-08-08 07:15:07
3
Hon: Jose🇦🇪🇺🇸 :
Mahujaji wa Matumaini pamoja Katika sala
2026-08-07 06:57:56
1
_Molex Crazy💜❤ :
Ameeeen Mungu utujalie neema yako🙏🙏
2026-08-03 13:28:36
1
Sekunda Msalike :
Amina
2026-07-28 21:37:48
2
Victor Bauss :
asante Mungu kwa kuni Linda siku ya leo
2026-08-06 14:06:12
1
Mamake Naomy :
aminaaa
2026-07-29 04:57:58
1
user67619221248110 :
Amen 🙏
2026-08-03 16:34:07
1
Bm Barak :
amen 🙏🙏🙏
2026-08-03 12:54:05
1
Domi :
Amina
2026-08-01 19:28:17
1
user5332522454378 :
Amina
2026-07-31 18:12:37
1
Elizabeth :
Amina
2026-07-30 14:22:41
2
Mary vicent :
Amina
2026-07-27 08:27:27
1
mtoto wa baba :
amen
2026-08-06 06:13:34
2
marinakarl :
leta full please in swali💞💞
2026-08-07 04:39:58
1
restutaernest :
Amina yesu nakutumainia
2026-08-06 06:23:18
4
Nadine likambo madelene :
siyuwe kuhomba rozari takatifu unisaidien kunihonecha merci
2026-08-04 14:26:58
1
RObby :
Amina sana mkristo mwenzang nawapenda sana ndugu zangu
2026-08-04 19:27:40
1
sally :
For the sake of His sorrowful passion, have mercy on me, my family and to the whole world 🙏
2026-07-28 12:32:28
1
akinyi dayan :
Amen
2026-09-09 09:41:49
0
it's_ur_grl :
Amina
2026-07-27 09:14:01
1
To see more videos from user @mt.rita_wa_casia, please go to the Tikwm
homepage.