miaka 12 nimekaa nikisuburia atakuwa wangu kumbe nilikuwa najipotezea muda Ila namshukuru Mungu atanipa mtu sahihi kwa wakati sahihi
2026-07-26 12:48:19
103
Rehema Juma :
Ndy bababa
2026-07-26 17:18:38
3
shadia :
wambie
2026-07-26 17:50:18
1
Butterfly❤️ 🦋 :
yalinikuta mie😂😂
nililia kilio cha wakoma😭
2026-07-26 17:21:31
33
@Treezy :
wambieeee
2026-07-26 18:55:28
0
Esther daudi :
nilikaa kwenyemahusiano miaka mitatu akaniambia atanioa chajab akaoa mwanamke mwingine niliona dunia imenilemea
2026-07-26 19:45:44
5
Flora Lema :
kila nikipita huku tikitok nakutana na huu ujumbe ....Mungu nisaidie😳
2026-07-26 16:54:03
21
Esther :
mwamposa naomba ela
2026-07-26 16:41:03
6
@kasamila :
leo mwamposaa ameamua aseme na sisi vijana dah
2026-07-26 17:01:06
10
@Modestajoseph :
ubalikiwe sn baba sema tupone😁😁😁😁
2026-07-26 17:31:59
5
mpenda haki :
kweli wanatuacha wakati tuna malengo nao. jamani vijana tulinde baraka.
2026-07-26 18:02:54
6
kish baby :
afadhaliii baba umetusaidiaa kusemaa
2026-07-26 18:10:47
5
Royder Philimon :
naamini mungu yupo kuwalipa wale walio umiza hisia zetu kwa uongo🙏🏽🙏🏽
2026-07-26 18:06:45
8
18638 :
ww baba nilikua nakueshim sana awa bilakuwadanganya utawapata juzi nilimtumia nauli namuliza upowap ananijibu mie mwema wwbaba
2026-07-26 20:50:03
0
missAngel :
Amen
2026-07-26 17:50:42
2
scolakidunde8 :
Mimi miaka sita namtoto nimempea baba ila kumbe Anipendi anampenda mtu mwingine naanamueleza mtu wake ana filing na mimi baba ninakidonda kibichi nasijui ninapona lini jamn mimi😭😭
2026-07-26 20:16:59
1
ZD23☠️ :
sawa mtumishi 👍
2026-07-26 17:49:48
1
Sabrina Nduma :
kweli baba
2026-07-26 17:58:10
2
lady sound :
waambie hao 🤣
2026-07-26 17:14:22
3
Miss fihy🌝🌸 :
Siku hizi ata neno takuoa hawasemi😂😂😂😂
2026-07-26 19:47:29
4
mamylon 🤏🥰 :
amen
2026-07-26 16:52:17
1
smiley :
sema tu ww mtumish
2026-07-26 18:00:12
2
Angness Agness nyantori :
AMINA Nikweli kabisa baba 🙏🙏🙏❤️❤️🤝🤝🤝
2026-07-26 16:17:35
3
momo💯 :
mie Wang hajawah nambia hilo neno😅😅😅 and we are in relation almost 5 years ila hanioi n nampenda ila mie mjinga kam shangaz zangu
2026-07-26 19:58:07
2
To see more videos from user @upakolive, please go to the Tikwm
homepage.