pole sana jirani yangu hyu tulikuwa tunaishi naye nyarungusu tunanunua vitu dukan kwake sijui amekutwa na kitu gan jaman
2026-07-26 15:26:44
26
thuwayba_04 :
Challenge closed sasa😤
2026-07-26 14:29:08
7
Halima Mbato :
Allah atakuafu inshaallah subra tuu🤲🤲🤲
2026-07-26 17:20:02
6
Harson Jr :
Allah amjaalie afya iliyokuwa njema inshaallah
2026-07-31 21:35:02
1
abuuuthaymiin :
allah ampe shifaa lkn huyo anasoma qaswida japokuwa ni bidaa lkn mkamuwekea na mziki kabisa.hii haijakaa sawa japokuwa tukikumbushwa Kuna watu wanasema Kwan wewe huna makosa ?makosa yapo Kwa Kila mtu ndo maana tunakumbushana ushaur Wang toa huo mziki japo sijajua kuwa ni mziki au niqaswida ila vyovyote ungetoa tu
2026-07-30 03:05:55
5
mila de cute :
mbona kama ali ismail jaman
2026-07-27 12:21:24
9
alfa njonjo :
pole sana shekh wetu mungu atakuafwu
2026-07-28 15:00:58
4
Mpemba kisauni :
ndiye
2026-07-27 05:45:13
1
@edwadi :
Pol Sana kak mung atakupony
2026-07-26 21:39:07
3
ashrey :
pole mwenyez mungu akuponye kwa uwezo wake
2026-07-28 19:01:20
1
fahmialliy369 :
daaa pole sana broo
2026-07-27 05:28:36
1
iddy :
pol kipenz chauma mngu atakusaidia hayo tumeumbiwa ss wanadam allha bd anakupenda
2026-07-28 19:55:30
2
user81085501741374 :
jamani Mwenyezi Mungu mtukufu amuafu huyu kipenz mm napenda sana qaswida zake
2026-07-27 04:32:46
6
Cutejawhar :
Allah awape subra jaman daaah
2026-07-26 20:38:30
1
asaa dube :
mungu atakufanyia wepesi utarudi kwenye hali yako kaka
2026-07-26 21:11:17
2
Diaby :
pole mungu akupe taafifu
2026-07-26 21:30:54
1
Beoraki cute :
mashaallah
2026-07-28 15:16:13
1
S.bacca__2 :
kwan anaumw n nni
2026-07-26 19:44:28
1
Hathabi :
huyu kaka si yule mwimba qaswida?
2026-07-31 20:34:51
0
holle :
pol san ndg mungu atakupa nguvu
2026-07-27 10:26:41
3
To see more videos from user @mkakawaforodhan1, please go to the Tikwm
homepage.