@zeyd.jumanne6: Baada ya kusubiri kwa takriban miaka 38 bila kupata mtoto, hatimaye Allah amemjaalia mwanamke mwenye umri wa miaka 63 kujifungua mtoto wa kiume. Tukio hili limeibua hisia za wengi na kuwa ukumbusho kwamba rehema na uwezo wa Allah havina mipaka. Pale matumaini yanapoonekana kufifia, Allah anaweza kufungua mlango wa neema kwa wakati anaoujua Yeye. Alhamdulillah.@RAJAI TV
mashallah Mashallah natamani na mm miaka 12 nishakaa sijapata
2026-07-26 20:10:12
7
🥰🌹Sĥëĥãř🦋 :
Hakika kila mwenye kusubiri atapata ujira wake tusikate tamaa
Subrah Ya Rabby
2026-07-26 13:56:09
1
Mammy's collection 🛍✨️🌹 :
Allahumma baarik hakika Allah yu pamoja na wenye kusubiri
MashaAllah tabaraka Allah, tusiache kuomba dua kwani Allah anajibu maombi ya muombaji na hachoki kuombwa na ni mkwasi🤲
2026-07-26 13:59:00
0
Nasra Ally :
mashaalalh mashaalalh subra ya rabbiy nijalie na mm mungu wang
2026-07-27 06:16:19
0
MAMA NAA :
ALHAMDULILAH 🙏
2026-07-27 07:46:23
1
user1142466202746 :
mashallah hakika Allah ni mwingi wa rehma 🥰🥰🥰
2026-07-27 10:43:23
3
AbuuFar-haani Ibn Rajabu :
Maashaallaaaaaaaaaah,,,,
Allaah amzidishie Subra zaidi
2026-07-28 16:44:21
1
Dullah wau :
masha Allah
2026-07-27 17:24:27
1
Unique ♥️ :
Allah kadir 🙏 mashaallah
2026-07-27 11:27:00
1
Muhammad :
mashallah
2026-07-26 17:36:49
1
Mrs me :
Allah akbar
2026-07-26 17:59:59
1
Madam Rasak :
Allah Akbar
2026-07-27 05:17:36
1
MiNah 🌷 :
mashallah 🥹 mungu ampatie ukuaji mwema. na wewe mama angu ☺️☺️☺️❤️❤️❤️
2026-07-27 07:47:03
0
husna Mohammed :
mashalah usikate Tama kwamngu
2026-07-28 04:58:10
0
latifhussen :
Alhamdulillah
2026-07-26 17:27:12
1
Hashfar :
jaman mbn haichukulik
2026-07-28 12:45:02
0
offciallyruhaila86🥰 :
mashallah
2026-07-28 15:35:39
0
mariam :
mashallah
2026-07-27 13:18:30
0
0772530606 :
mashallah
2026-07-28 17:13:20
0
Asfah :
Mashallah
2026-07-28 19:34:49
0
my love me :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-28 09:12:49
1
Hadija :
♥️♥️
2026-07-27 08:06:18
1
To see more videos from user @zeyd.jumanne6, please go to the Tikwm
homepage.