Yani uyo shekh wa nyuma alikuwa Sirius sana ila ghafla kicheko km chote mungu ammbariki shekh wetu kpnzi
2026-07-27 07:19:38
41
thabit ngangila :
ndo ninachompendea sheikh walidy
2026-07-27 17:17:08
0
power magic system :
Walhahi Sheikh utatumaliza🤣🤣🤣
Allah akupe maisha marefu InshaAllah
2026-07-26 18:32:19
21
aysal :
Shekh wangu kipenz nakufatilia sana nafurahi sana nukisikiliza darsa zako visa vingi vinye kufundisha
2026-07-27 06:18:44
9
sydn :
huyu jamaa ana hak ya kupendwa, huchok kumsikiliza
2026-07-27 05:52:35
10
Ahmed :
kwani hatuwezi kuandamana hadi bakwata jmn
2026-07-26 20:50:53
7
spellasawani :
yaani ana Hadith nzuri huchoki kumsikiliza mwenyezi mungu azidi kukulinda
2026-07-27 07:10:03
6
Bwengo Abdallah :
ahsante haha lete
2026-07-27 05:04:59
1
Nasbina Sameer :
nimecheka kwa sauti hahahaha nakuona kama Othmani maalim yaani huchoki kukusikiliza
2026-07-27 18:12:47
1
chiku :
MashaaALLAH.😂😂
2026-07-27 04:40:06
1
swalehabdallah :
mashaallah sheikh walid mola akupe umri viswa vya kweli sheikh
2026-07-27 11:12:40
1
ABDULAZIZ HUSSEIN :
mambo ya mjini, Kampala twasema makisado.
2026-07-27 11:42:43
1
Nadia Ally :
Wallah hatamie niliibiwa pale kichangani nilirudi peku 🤣🤣🤣🤣🤣afu ilikua ramadhani na ulemsikiti tunavoupenda kila siku tupo palepale kwake Walidi yani wezi wapo kama hakunakitu Imamu akisimamisha swala tu watu kazini 🤣🤣🤣