kuna sisi tunapambana na kulia peke yetu hakuna ata wakukwambia pole mwanangu😭😭
2026-07-27 03:38:13
77
brm :
wenye tunaangalia na machozi yanatoka gonna like hapaa
2026-07-27 06:31:04
53
Bby naa :
neeeeeeeeeeeeeeeext
2026-07-27 08:33:12
0
saidaty34 :
pls next
2026-07-27 08:51:37
0
Hellen Christian :
Next episode
2026-07-27 07:56:56
0
Ali Omari :
next episodes
2026-07-27 08:04:51
0
Hashim@abu :
Next part
2026-07-27 07:52:58
0
janeelias :
unaweza kuhisi waliokufa wamepumzika wallah!
2026-07-27 04:39:39
16
Fatmah :
nest part
2026-07-27 10:07:39
0
second born wa familia :
Nimejikuta nalia siku naondoka kwenda kufanya kazi inje ya nchi nilimwacha mtoto wangu na wazazi wnagu nakumbuk ni mdog lakin aliita Mamaaa Maama Maama nilumia ila nipo kikazi tu ila siku zimeeisha narud kwetu
2026-07-27 06:38:25
25
Aisha23 :
next
2026-07-27 07:54:00
2
İţ'ṣ̌🌺ɗąmķúɓẅå :
hii ndo maan ya usidharau usiemjuwa🥺🥺
2026-07-27 04:43:39
10
Lydie zaïna :
kweli ni herri kuwa vizuri na mtu yoyote
2026-07-27 02:08:02
15
aisha :
mi nisingesamehe
2026-07-26 23:05:30
7
mamake :
Next please 😭😭😭
2026-07-27 01:00:41
0
amina :
kwa ubongo wangu nnavyoujuwa nisingesamehe haraka hivyo
2026-07-27 03:36:57
5
zenathy :
kuna cha kujifunza kupitia simulizii hii
2026-07-27 04:40:49
11
wise mom :
usimdharau mtu hata kama Hana kitu.binadam wite ni Sawa.
2026-07-27 04:21:10
15
🍀WAU🏕KAE 🌺 :
binadamu tuna dharau kwahyo mtu kama humjui ndo anastahiki dharau?mungu niepushe na dharau kwa chochote kilichopo chini ya jua🥺
2026-07-27 05:54:30
6
Betty iribagiza :
siwezi nikawasamehe
2026-07-26 23:00:33
5
Qeen Ndunguru :
hv haya yapo wapendw?
2026-07-27 05:07:45
0
boykiny :
ok
2026-07-27 08:01:27
1
berna✨ :
kama inaishia njian nmbien nixianglie jmn😂😂😂
2026-07-27 09:53:01
1
1996 :
AI inawaliza wengi sem umetata funzo🥰
2026-07-27 08:56:31
2
prisca :
jaman nijikuta natoa machozi mwenzen
2026-07-27 08:14:07
2
To see more videos from user @asyamamy4, please go to the Tikwm
homepage.