Hhhhhhhhh ama kwely chakal ni dhahabuuu nakumbukia ZBC Japo mtot wa elfu mbili lkny Napnda hii michezo
2026-07-26 20:10:12
12
FATAWI :
Brother Chimbeni you are the best comedian
2026-07-27 08:03:44
2
kimKamal Bashir :
zanzibar ilikua lulu kipindi hichi cha akina mashaka ,sio sasa boda boda kila kona ya kisiwa
2026-07-27 07:32:39
3
Mr money 🤑 :
Umenikumbusha mbali dah 😅
2026-07-26 20:37:20
5
umiaqen :
wallah watamn siku zirudi
2026-07-27 15:21:09
3
Mrs Patrick bellange :
sanaa znz imekufa sasa hizi move hakuna tena
2026-07-26 21:42:48
2
Rajykudo112 :
Zamanii rahaa🥰
2026-07-26 20:10:02
3
شارع الكامل الوخفي 🇴🇲 :
zamani asa Raha sijuwi kwanini sijazaliwa zamani ningekuwa muhenga saahiz😂😂😂
2026-07-26 22:03:52
3
Young bob :
duh
2026-07-26 19:53:43
2
Twajkha :
jiraaaan 😃😃😃
2026-07-27 04:48:48
1
user34536777 :
jirani ameolewa...
mahawara na wakomeee😂🤣
2026-07-26 21:14:50
1
Esha :
TVZ raha
2026-07-27 10:22:14
1
Wahashtini :
Haaaa talaka Mpe jirani😌👌
2026-07-28 19:08:35
0
Musa jet li. :
sema jirani khalat mashallah.
2026-07-26 21:34:12
1
user5114215456358chama Riri :
zamani rahaa hapa nina miaka 10 tunatolewa tv nje😂😂
2026-07-28 14:50:44
0
hubakhamis0 :
napenda
2026-07-27 04:26:21
1
Ayesha Mummy :
jamani ezi izo nambiwa nikalale kesho skuli bas huwa nachungulia tuu 😂
2026-07-27 10:33:40
2
Zenjiman :
Ezi zetu vipindi vya tvz bado wapo Bijiwa na Mashaka?
2026-07-26 17:43:07
6
SweetGirl💋 :
Hamngari Nyiee mlomleta Atangara Yeye 🤣😆🤣😆🤣
2026-07-26 21:38:23
4
Yussra Said Nassor ♥️ :
Angevaa joho 😁😁
2026-07-26 15:32:33
1
user5114215456358chama Riri :
bi njiwa anaishi nyumba mbovuu maskini kujituma kote wasanii hawana misaada pakuishi hawana wakilalamika hawasikilizwi mpaka watumwe na raisi jamani wasaidieni wasanii wetu wa zamani wanapitia magumu wengi sana haki za binaadam zikowapi zanzibar
2026-07-28 14:55:17
1
Young bob :
Bi njiwa jeuri 😅😅😅😅😅
2026-07-26 19:57:33
2
bi hawa :
we kk shikamooo
2026-07-27 05:56:39
1
Zanzibar Home Decor 🛏️ :
Ungemvisha joho😅
2026-07-26 20:29:19
1
chama ochu :
bi njiwa na mzee mashaka
2026-07-28 09:13:26
1
To see more videos from user @abdulwardontz, please go to the Tikwm
homepage.