adamu kaubwa na Mungu na Mungu ndo huyo Yesu ambae ni neno
2026-07-27 04:52:28
6
Uweisu :
ufahamu nao n rizqi ukiona umepewa ufahamu mshukuru mung
2026-07-26 20:49:27
28
magrethherin :
adam sio Mungu na adam sio mwislam na hyo adam alishushwa na Yesu ambae ni Mungu hapo zamani palikuwa ma neno nae neno alitoka kwa Mungy
2026-08-29 07:18:35
0
Kalinjuma Elias :
Adam Aliumbwa na Yesu
2026-08-15 06:06:58
2
N Seif Said :
sawa yesu ni mungu je mama yake yesu mungu wake ni nani?
2026-07-27 14:36:22
15
It’s_VistaVoyage🏝🇹🇿 :
Adam kaumbwa na mungu na mungu ndo yesu na yesu kazaliwa 🙌
2026-09-10 15:04:40
2
nicolaus :
kaka adam aliubwa kaka akuzaliwa awezi kuwa mungu
2026-08-06 10:51:57
1
sahlan :
yesu nibwana!! Aliwaowa au???
2026-07-26 21:23:33
7
Raynor5575 :
Kwan yesu aliubwa
2026-07-28 07:09:47
0
Azzy Me💞 :
mama yake yesu Mungu wake ni nan
2026-08-15 12:20:00
3
Omar isa :
Kuna watu wengi wamezaliwa bila baba uyo tumwite nani
2026-07-28 13:42:52
9
bibi ahyaan :
mashallah kijana wangu
2026-09-07 11:17:53
1
issa msalam :
naongeza lingine,na alie mzaa mungu tuta mpa cheo gani?
2026-08-05 17:34:20
5
Wakwetu tz :
Yesu anasema tazama mnataka kuniua mimi mtu niliyo waambia kweli niliyo isikia kutoka kwa baba
2026-08-14 18:41:57
2
. :
Allah akisema Kun Fayakun kazi yake hana mshirika kasome Suratul Al Maida aya ya 109 mpaka meisho 120 utamjua nani Yesu
لا إله إلا الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير
2026-07-27 03:03:59
9
najma othman :
Nabii adam ni mungu wa yesu
2026-08-18 07:27:55
0
jiizoomtumweni :
adam yy nani
2026-07-27 10:43:12
2
MR KHAN-MP :
sasa yesu kazaliwa na mama je .adam alokosa wazazi kabisa si ndo tungemwita mungu
2026-07-31 22:48:54
2
My desire 🇰🇪 :
Hakukua na agano lolote la ukombozi kati ya Adam na Mungu lakini kwa yesu mambo ni tofauti sana - Yesu alikuweko hata kabla ulimwengu kuumbwa,wakati Adam akiumbwa Yesu alikuweko kwa Mungu na pasi yeye hakuna kitu kingeweza kuumbwa🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-25 08:45:47
1
MOhamedi ngemba :
Allah atupe mwisho mwema inshallah mana daa mtiani kweli
2026-09-11 18:16:04
1
AmidaAthumani :
kweli uislam ni din ilyokamilika
2026-09-05 00:18:54
2
Rv :
Upo timam Sana KakA 🔥
2026-09-04 07:40:05
1
zaahid :
Adam jee
2026-08-29 14:54:02
0
To see more videos from user @supremleader_20, please go to the Tikwm
homepage.