@fakihmbarouk:

Official fakih Mbarouk
Official fakih Mbarouk
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 15:05:26 GMT
155290
7622
442
202

Music

Download

Comments

user6860092627625
tumah :
mbona Kawa mwembamba san dah dunia hii ila pole Kama Allah kakupa yeye iyo Mtihani basi atakuondolea ila kama Kuna mikono ya watu wabaya imekufanyia uwe katika Hali iyo bas ubaya wao utwarudia wenyewe pole kaka utapowa Kwa uwezo wa Allah 🤲 pole sana adi machozi yamenitoka 😭😭😭😭😭😭
2026-07-26 20:30:55
111
alwattan.20
Alwattan 20 :
🤔 Hii imeniumiza sana Wallah. Kwa kweli, ubinadamu wa siku hizi umebaki mdomoni tu, hasa mtu anapokuwa mzima na mwenye nguvu 😔😭lkn kwenye Ungonjwa. Kumbe kweli, wakati wa shida ndipo unapowajua wale wanaokupenda kwa dhati. Wengi huwa karibu wakati wa furaha, mafanikio na afya njema, lakini wachache hubaki wakati wa majaribu na maradhi. Hapo ndipo urafiki wa kweli, upendo wa kweli na udugu wa kweli huonekana. Inasikitisha kuona kijana akipitia kipindi kigumu cha ugonjwa, huku baadhi ya waliokuwa karibu naye wakati wa afya na furaha wakishindwa hata kumtembelea, kumjulia hali au kumtia moyo kwa neno jema. Tendo dogo la kumtembelea mgonjwa, kumpigia simu au kumuombea dua linaweza kuwa faraja kubwa kwake. Pia nasi tusijisahau. Afya ni miongoni mwa neema na riziki kubwa tulizopewa na Mwenyezi Mungu. Tusijivunie nguvu zetu, kwani hali ya maisha hubadilika kwa muda mfupi. Leo unaweza kuwa unawasaidia wengine, kesho ukahitaji msaada wao. Basi tuwe watu wa kusimama na wenzetu wakati wa raha na wakati wa shida, kwa sababu huo ndio ubinadamu wa kweli. Mwenyezi Mungu ampe mgonjwa huyu shifaa ya haraka, amtie nguvu na subira, awajaalie kheri wanaomsimamia, na alainishe nyoyo zetu ili tuwe watu wa kuhurumiana, kutembeleana na kusaidiana bila kusubiri maslahi. Aamiin. 🤲🥺
2026-07-26 21:14:48
35
chichi.beb
chichi beb🥰 :
sisi wakenya tutatum vip jmn mn njrbu aitk
2026-07-26 20:01:22
7
user9507409165875
Amina :
mungu atakufanyia wepesi hiyo namba jina linakuja lake
2026-07-27 09:37:23
12
abdallah_tozy
Abdallah Haji Shaame :
Allah amfanyie wepesi Ndugu yetu kijana mwenzetu tuko pamoja #AQAZforlife
2026-07-28 12:24:09
10
mrs.aly67
Mrs aly :
yupo sehem gn
2026-07-27 02:35:30
5
chalamomo
Chalamomo🧸💕…. :
Anaumwa nn jamn
2026-07-26 18:34:27
12
user17613453226554
Naithaisam :
Allah awape subra na akupe shifaa ni mtihan ktk kwa allah hajakusahau
2026-08-01 19:08:40
3
mysarah47
My sarah🦋❤️ :
ALLAHU AKBAR 😭😭 ALLAH atakupa shifaa InshaAllah 🙏
2026-07-26 19:46:31
18
sada.musa95
Sada Musa :
pole sana kipenzi chetu mungu akujaliye afya njema
2026-08-06 19:17:53
1
daeso30
DAESO :
Pole cn kaka Allah atakufanyia weps inshaallah 🙏🙏
2026-07-30 10:45:48
2
shalubu44420034452763
shalubu :
ah jamani aliemfanyia hvi hyu aombwe msamaha dah hasidi hana sababu
2026-07-29 05:02:10
4
leluusaid
LELUU BEAUTY🦋 :
binaadam hujafa hujaumbika wallah aah mungu akikupa maradhi na subra pia anakupa🙏
2026-07-26 21:15:14
10
sophiaabdallah35
sophi :
mungu akusaidie kaka yangu
2026-07-26 15:08:13
6
arafamtalala
princess mtalala :
tafadhali jamani kwan sheikh wetu amekumbwa na nn
2026-07-30 15:10:09
1
gianluigi.donnarumm
Gianluigi donnarumma25 Gk :
pole kaka
2026-07-27 05:21:28
1
mama.farhan7189
mama farhan :
inshaaaallah mwenyez mungu ataleta kher zake
2026-08-03 16:11:24
2
babyara218
Baby Ara 🥰 :
Allah amjaalie weeps apoe kw Rehma zake. Amjaalie na subra yy na familia yake ktk kipind iki. Hakika kam hujafa hujaumbika
2026-08-11 18:01:01
2
tifalaty.hashim
tifalaty hashim :
pole sana kaka Allah akupe wepec inshallah
2026-07-26 19:11:57
8
user5915323674408
mammy :
Allah akufanyie wepes inshallah
2026-07-27 05:03:04
3
user5752483949997
Abdulikadri Vuai :
km inmetumika mikono ya watu au mtu bas mungu amdurubu kisawa sawa hp dunjani kwanza anateseka vby jmn
2026-08-05 19:02:15
2
khadijajuma945
Khadija Juma :
Allah atakujaaliya utapona
2026-07-27 17:36:08
3
mohdshariff402
Bin shareef :
Allah amsaidie inshallah
2026-07-27 19:17:06
1
fatma.sleman1
Fatma sleman :
mung yupamj nas mungu atamuaf ishaalla
2026-07-28 16:56:54
1
ramhy49
ramhy :
mung azd kup afy njem ixhaallah
2026-07-26 18:10:51
5
To see more videos from user @fakihmbarouk, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About