@radiomariatanzania: SADAKA NI LAZIMA IUME, HUWEZI KUTOA SADAKA UKIWA UNACHEKA; KUNA MAUMIVU, NA ILE SADAKA INA MAANA.” — Sehemu ya Homilia ya Padre Emilius Salema, SDB, Mkuu wa Provinsia ya Shirika la Wasalesiani wa Don Bosco nchini Tanzania, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Nadhiri za Daima kwa Mafrateri sita wa Shirika hilo, lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Katika Nadhiri za Daima, mafrateri hujifunga maisha yao yote kuishi mashauri ya Kiinjili ya umaskini, usafi wa moyo na utii, wakijitoa kikamilifu kumtumikia Mungu na Kanisa kwa kufuata karama na mfano wa Mtakatifu Yohane Bosco. Kutazama homilia hii, tembelea Channel ya YouTube ya Radio Maria Tanzania.

Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 15:21:02 GMT
18166
941
13
57

Music

Download

Comments

dhulosky
domieso :
fr salema
2026-07-28 13:42:42
0
user946677124482
innocent k Francis @gmail.com :
ukweli fr
2026-07-28 09:37:15
0
emilianasulley
emilianasulley :
kweli baba
2026-07-27 18:33:21
0
jomumu578
joe :
fr salema
2026-07-27 17:00:40
0
zenamakele
Zena Makele :
ahsantee baba...Amina
2026-07-27 12:06:47
0
lemaiba.young.nca
𝕷𝖊𝖒𝖆𝖎𝖇𝖆 𝕹𝖈𝖆𝖆17 :
Ahsante hiii ni elimu tosha
2026-07-26 16:45:46
0
user1251634519028
Jo'die de beauty :
Hakika father 🫡
2026-07-26 16:00:03
0
jackie_graphics
Jackie Graphics 👩‍💻 :
Amen ubarikiwe sana 🙏
2026-07-26 16:28:45
0
cbrantinaboke095
cbrantinaboke 095 :
Amina 🙏
2026-07-26 17:35:14
0
user744058003170
user744058003170 :
iyo hapingwi kbs
2026-07-27 21:10:37
0
babajesca1
babajesca396 :
amina
2026-07-26 15:45:33
0
patylovetz
Partylovetz :
🙏🙏🙏🙏
2026-07-26 16:06:02
0
shrey959
shrey🦋🦋 :
🙏
2026-07-27 20:43:46
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About