me nilienda buchani kununua nyama nikakuta kuna mtu anapimiwa asa alivyowekewa yeye nikashangaa kuna kipande cha nyama kimebaki kwenye lile bakuli lao la mzani nikahisi hajaiona nikapotezea asa nikashangaa mbona namimi alivyonipimia bado kile kipande kikabaki mulemule ikabidi nimuulize kwamba mbona iko kipande humo hakitoki nakiona mda wote basi alinikata jicho me mwenyew nikanyamaza akachukua kipande kingine akaniwekea lakini kile kikabaki mulemule kwenye mzani sasa sijui ndo uchawi wao au vip๐
2026-07-27 14:13:49
152
Mb coterz :
2026-07-26 17:13:41
27
real_Jsp :
kwa mtu anapajua buhongwa pale pembeni ya barabara kuingia sokoni ...nilienda na bro wangu ni soja ...kununua mchele kumbe ile mizani wameifanya sijui nini kilo 20 zinatoka 11 walilia ...aliwaita wote akawaambia pandeni gari ....๐๐๐๐
2026-07-29 07:58:30
19
Sแดบแดผแดผแดพ แดฐแดผแดณแดณ๐ฌ :
sijui kwanini nikilala na mwanamke anapata kazi๐ฅบ
2026-07-29 16:53:51
4
Omary Athumani :
watu hawana hof ya mungu sku hiz ๐๐ณ
2026-07-27 07:41:35
36
Saitoti Miaron :
kuna siku pale korogwe nipo kwenye gari nilinunua chipsi sitokuja kuirudia sijui mayai yanyoka au yakunguru nais ivo na 2000 imeenda wew imeniuma higo mpaka leo
2026-07-29 20:51:25
4
81vaileth~frank :
hata sokoni huwa wanapanga viazi hivyo bila kuseme upimiwe umeenda na maji
2026-07-27 10:10:03
14
TMT :
oy mbn unatuaribia kazi??
2026-07-27 21:51:15
1
beka mande :
ndio shida ya kuchagua
2026-07-27 06:32:06
9
official mamy Naa :
ndo maana nawaambiaga weka moja moja anasema ngoja nikupimie vingine ๐
2026-07-28 07:44:00
10
Irene Elias :
mmmh nimeona
2026-07-27 12:02:51
7
๐ท๐๐_๐ฆ :
ila hawafanikiwagi hao
2026-07-27 14:38:21
3
Abdellah๐คด :
mtume ameharamisha hiii
2026-07-30 18:42:26
3
faraula :
kama naona
2026-07-28 11:18:24
1
Remiji Yunde :
nmesoma hyooo
2026-07-28 17:42:47
0
@Miss_Chris :
Mi nilpigwa na mchele pale magugu samunge nikapigwa na viaz๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
mimi hao wanaofanyaga biashara barabarani huwa siwaamini kabisa unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana mtu unawaonea huruma unaamua kuwachangia ili wasife njaa lakini wao hawana huruma na wewe kabisa wanakuuzia vitu vibovu unanua chips unakuta ni za juzi zinanuka balaa
2026-07-27 14:42:55
0
mariambaaseif :
Leo mtu kanunua nyama ferry kigamboni akaenda dikani kupima akakuta robo haipo
2026-07-27 18:30:48
3
asha turkey ๐น๐ท :
mm nilinunua bana leo kesho zote zimeoza ๐ ๐ ๐
2026-07-27 11:47:23
4
To see more videos from user @funnyvideo_tz, please go to the Tikwm
homepage.