…kwan wako wangapi mim namuona mmoja tu mwenye viatu veusi😂😂😂
2026-07-27 08:13:54
63
DANNY VIBEZ :
Beat kali sana 🔥🔥🔥🔥
2026-07-27 09:06:10
32
dee_smile 39 :
au na mm nivae kiatu cheusi 😁😁
2026-07-27 10:07:25
4
Elizabeth Paul :
kwan wapo wangap me namwonw tu mmoja mwenye viatu brack
2026-07-28 19:21:16
2
Rey 🦋cute🦋🦋🌹 :
nakumbuka yake matufunyungu yawale katuni 😂😂😂 nd ilikuwa kibembelezeo changu nkiwa nasinzia ucku😂😂
2026-07-27 18:13:24
3
Miss V 847 :
Namkumbuka marehemu shangazi yangu ndo alinionyesha hii cartoon Kwa mara ya kwanza r.i.p my lovely aunt 🥺🥺💔
2026-07-27 19:55:00
6
Kijana Wa Hekima :
nakumbuka muda sana kwenye ubweche Kuna vikatuni vilitrend na mwanangu alikuwa anaupenda sana huu wimbo akilia ukimuwekea tu ananyamaza naumia sana amesha fariki apumzike salama
2026-07-27 11:24:06
10
Apollo Cowboii🤠 :
Hii imeenda😂😂🔥
2026-07-26 22:28:42
1
Jazy Bestow :
Ila hili goma😂😂🔥🔥🔥
2026-07-27 17:19:39
1
KIJANA WA SYSTEM⚠️ :
KAKA UNAJUA SANA NGOJA NIKUFOLLOW KABISAA🔥
2026-07-27 16:49:55
2
Popineshine :
Noma hi 😂😂🔥
2026-07-27 07:36:05
0
🫦zai cute🤍💦 :
Mwenye koti la jinzi siwez ish bila wew🥰🥰🥰
2026-07-26 20:43:28
11
Baba Tiffah Once again!!! :
me nakumbuka Tegeta kids😁
2026-07-26 22:08:23
9
Meow😹 :
Tunaoiskia leo like hapaa
2026-07-27 10:02:14
2
Princess tinah👸💯 :
demu kashindwa kutuwakilisha tumewakilishwa na jamaa daah🥲
2026-07-27 18:15:53
3
officialdiaz.tz :
Kaka samahani huu wimbo unaitwaje?.
2026-07-27 09:33:48
3
Eddy 001 :
Black shoes 🔥 🔥 🔥on top
2026-07-26 17:52:22
4
sweetbertha 🇹🇿 :
yaani hii biti ikijitokeza tu najikutaga nacheza kwanza ndo naendelea na mambo mengine😆😁
2026-07-28 14:49:43
1
userBagumile :
we viatu vyeus uliendaga wap et
2026-07-27 04:58:48
2
To see more videos from user @phyzzobrown, please go to the Tikwm
homepage.