@emma.knowsmore: Hizi Zinaitwa Two M’s Of The Universe, MAGNIFICATION and MAINTAINANCE. My Last Post Nilielezea Kuhusu Electromagnetic Waves, Namna Gani Organ Zetu Mbili, Ubongo Na Moyo Unaweza Ku-Attract Vitu, Watu n.k Sasa Ile Process Nzima Inaitwa MAGNIFICATION Then Baada Ya Kila Kitu Kuwa Magnified, Kwasababu The Universe Is A System Then Inatafuta Njia Rahisi Ya Yenyewe Kufanya Kazi Kwa Urahisi. Unadhani Watu Billions 8 Wote Dunia Itajiendeshaje Kama Haitakuwa Na System Rahisi Ya Kuwa-maintain.?? You Need To Understand That. Ni Kama Traffic Lights Tu😀Red And Green, Ile Nayo Ni System Pia, Unadhani Bila Vile Foleni Itaishaje.? So This Was The First System To Exist Before Any. Usidhani Dunia Itakutazama Wewe Kwasababu Eti Una Njaa.. Utakufa Na Njaa Yako Wakati Kuna Mwingine Ana Chakula Kingi Mpaka Anamwaga. You Are What You Do The Most😊Then You Keep Showing The World That This Is My Identity Conciously or Unconciously. Then Very Fast It Masters Your Alogarythim And It Starts To Give You The Things You Like And It Maintains Them So As It Can Easy Control You. Hii Itakuwa Imekusaidia.?😎

EMMA KNOWS MORE😎
EMMA KNOWS MORE😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 16:12:03 GMT
10596
939
57
44

Music

Download

Comments

mr.misele
Mr. Misele_Dar :
The Law of Attraction: This Universal Law demonstrates how we create the things, events, and people that come into our lives. Our thoughts, feelings, words, and actions produce energies which, in turn, attract like energies. Negative energies attract negative energies and positive energies attract positive energies.
2026-07-26 18:09:19
15
yuliahussein4
yuliahussein4 :
napenda hizi madaaaa sanaaaa
2026-07-27 17:13:50
7
officialunknown361
🤎 :
what if nikamuintertain mtu nisie mtaka just for my own benefit 😅, will that change me or will i change the person
2026-07-26 19:24:35
2
user266149027737
Wanjiku njau :
💯 truth
2026-07-27 16:47:33
1
sweke967
lamozey :
fact
2026-07-26 21:44:15
1
2minah0
Ammie✨ :
Kaka mkubwa big up💪🏽 akili kubwa mnoooo
2026-07-26 21:24:55
2
automotivetz
Automotive Tanzania :
Brain is braining💪🙌👑
2026-07-26 17:02:23
1
edger779
EDGER :
Very bright 😎🔥
2026-07-26 23:44:07
1
amneysaid8
amney hijjab collection :
fact
2026-07-26 17:54:22
1
vianevagry
Mamacita🥰 :
Change📌
2026-07-26 18:55:10
1
saint_de_sousa
saint :
we jamaaa ni nomaa
2026-07-27 08:57:20
1
esterchuwa1128
ester Raymond :
wacha niku follow sasa
2026-07-27 16:34:30
1
magari.tz
Gari yako fahari yako :
sahihi mkuu
2026-07-26 17:55:37
1
user63927624048540
Godwin :
okay
2026-07-27 01:29:51
1
cathymchaga
cathymchaga :
😁😁😁😁 nawaambia watu kila siku awaelew bora leo umewaambia
2026-07-28 16:07:07
0
user1111elly
elly the first :
naanza kukuelewa mzee baba
2026-07-26 16:54:57
1
bantunilote
BantuNilote :
Awakened soul. Hongera kwa elimu nzuri.
2026-07-26 23:23:23
2
qute.moly
Toto zuriii😍😋 :
universe inaniambia we ndo mchumba angu 😁
2026-07-27 06:09:02
3
london5303
London :
kuchomoka kwenye hio drained cycle sasa ndio kipengele
2026-07-26 22:50:48
1
lightupyourmindset
light up your mindset ✨️ :
sindano hyo kaka ukishindwa elewa hilo hata ikija nyingine hawez elewa tena💪💪💪 big mind
2026-07-26 20:40:42
2
user435070146
Muhammad :
real
2026-07-27 17:56:24
0
mustafadjuma387
mustafadjuma387 :
keep up the good work
2026-07-28 14:05:10
0
ibnabbas876
ibn Abbas786 :
2026-07-27 06:55:57
0
mofulu.ngumu
Mofulu ngumu :
kudadeki mifumo ni noma kumbe
2026-07-26 17:49:29
1
mr.misele
Mr. Misele_Dar :
kunawakati huwa nafurahi watu wakizungumzia vitu ninavyo vipenda anyway kila video nitakayo ipata nitadrop kitu kunacho endana na hicho kwenye kitabu changu pendwa angalia coment ya chani kutoka hii👇
2026-07-26 18:15:37
1
To see more videos from user @emma.knowsmore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About