@rowarumedics3: Acid reflux inaweza kusababisha hali kama: 🔥 Kuungua kifuani 🔥 Kichomi kupanda kooni 🔥 Gesi na tumbo kujaa 🔥 Ladha chungu mdomoni 🔥 Usumbufu baada ya kula Ili kupunguza usumbufu unaosababishwa na acid reflux, zingatia: ✅ Epuka kula chakula kingi sana kwa wakati mmoja ✅ Usilale muda mfupi baada ya kula ✅ Punguza vyakula vinavyochochea dalili zako kama vyakula vya mafuta mengi, pilipili nyingi na vinywaji vyenye gesi ✅ Kula kwa ratiba nzuri na kwa kiasi ✅ Dumisha uzito unaofaa ✅ Kunywa maji ya kutosha kulingana na mahitaji ya mwili wako Kumbuka: Kila mtu ana vichochezi tofauti vya acid reflux, hivyo ni muhimu kujua chakula au tabia inayoongeza dalili zako. Andika “ACID” kama unataka kujua zaidi kuhusu namna ya kudhibiti na kuondoa moja kwa moja tatizo hili moja moja kwa moja. #viral #fypシ #oman🇴🇲 #trending #HepatitisB

tumbo lako afya yako
tumbo lako afya yako
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 16:19:36 GMT
311
0
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @rowarumedics3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About