Form 1 hadi 4 Nilikua nikitoka shule namuandalia mama yangu maji na soda za kuuza mnadani Nilikua nabeba barafu kichwani Kama ndoo ya maji alfu jpili mama anarudi na mikungu 16 ya ndizi mzuzu inabidi nikauze mnadani na yy apumzike ili jumatatu aende mnada mwingine mpk watu walijua mm sisomi namshukuru Mungu nimefungua bucha la samaki na mama yangu anauza viatu saivi hachezei barafu tenaa🙏🙏🙏🙏🙏😩🙏
2026-07-27 07:27:47
415
Sophia de may :
kama umepitia hayo maisha gonga lik hapo ila mungu yupo mass
2026-07-27 06:18:16
685
BaBy faCe🍇💙💕 :
😭😭🙏🏾in God we trust
2026-07-27 03:57:57
1
Ibrah07 :
Mungu msaidie Kjn uyu anandoto nyingi usimpite Eehh Mungu wetu 🙏🙏
2026-07-27 13:29:23
94
kedeko :
ndo maana wahaya kwenye swala la elimu wapo vizuri wakat ote
2026-07-27 06:01:49
86
happie saiguran :
maisha niliyoyapitia toka 2009 hadi 2018 nilipomaliza form 4
watu walinidhihaki
walinicheka na kusema nimepelekwa kufundishwa wanaume 😭
nikakaza nikamaliza degree yangu
lakini ndo hv kazi bado sjapata ila naamini ipo siku Mungu atafungua milango kwa wakati wake 😭😭
2026-07-27 17:19:30
18
Royal 27❤️🔥❤️🔥 :
so painful 😭😭
2026-07-27 01:39:28
1
user5836981199553 :
pambana bint utafika mbal
2026-07-27 18:05:35
0
Denis Deus :
bila kuchoka
2026-07-27 19:22:10
0
Zainab Barwani :
baadae akija kuwa bilionea watamuita freemason..mungu mkubwa sana
2026-07-27 02:49:37
83
E_v.a.h🌹 :
Mmmh🥹🙌
2026-07-27 18:58:30
0
Dementria john :
may all your dreams come true
2026-07-26 19:40:02
4
zuu cute❣️❣️ :
alaf akija kufanikiwa midomo mingi hawatakumbuka kipindi anapitia haya
2026-07-27 06:59:54
25
Tayana Tz :
Mungu akubariki na akupe hitaji la moyo wako
2026-07-27 03:35:10
22
Mukure :
Ila wahaya wapo vzur ki elimu😳😳
2026-07-27 12:49:17
6
Rineth sume :
mmh imeniuma sana aise
2026-07-27 01:03:34
8
Cute_reynel🎀❤️🦋🌹 :
Daaaah mungu amsaidieeee🥰🥰
2026-07-27 10:09:52
5
Dee 💕🦋 :
🫢🫢😔Mungu amtangulie sana jaman …. Ni kupambana bila kuchoka
2026-07-27 10:08:08
12
tyner@15 :
God remember you ❤️❤️❤️
2026-07-26 19:08:58
9
bin alfan :
kaz mdg wang hakik unajuhud bas juhud zitakufikisha mbal mung akuongoze
2026-07-27 14:04:34
6
Mom Gee❤️ :
Dah Mungu akutangulie binti yetu🥰🥰🥰🥰
2026-07-27 04:01:03
6
Edson Kalangali :
SAMAHANI NAWEZA KUPATA MAWASILIANO YA WAZAZI WAKE?
2026-07-27 12:10:02
10
To see more videos from user @kyoma055, please go to the Tikwm
homepage.