@muckytalent_: Wakati nashoot Challenge Zangu leo pale @kid's corner Temeke , Nime Shuhudia Vile Upendo ❤️ mkubwa Mlio Nao mashabiki zangu Dhidi Yangu hii Baada Ya Kuombwa kufanya Appearence Walau ya Sekunde Chache Kwa Ajili ya Birthday ya Huyu Mtoto 👧, Hakika Nime Farijika Sana Kwa Kuona Vile Mna Thamini Kwa Ukubwa Kile Nacho Fanya , Naamini ipo Siku isiyo Na Saaa Dua Zenu Dhidi yangu , zitafanya Yafanikiwe yale Makubwa Mnayo Yatazamia Dhidi yangu🤲🏾❤️ 🎶 Javan Ft @Nicki dijah❤️🫦 In All Platforms 🧢👖👕@+255 698 456 644 Audio Produced by @Buguza🌟 Under @BESTSOUNDFAMILY🎙️ #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #singeli #lyricsvideo #muckytalent