yaani kweli mtumishi unatakiwa uwe na uvumilivu wa hali ya juu mnoo
2026-07-27 08:29:58
1
Grace Ndale48neema :
Kuna jaribio na Kuna mtihani ..Kuna mungu na shetani ..mungu n wamtuhani shetani n wataribio, na mungu akupa mtihani anakupa neema ya kushida shida niukose kujuwa n mtihani mahana utaikiangi kwa jaribio
2026-07-27 07:56:47
1
princess of God :
ukweli mtupu,,utalia machozi Hadi hayapo Tena,,utajus maana ya mazungumzo direct na mungu
2026-07-27 04:48:56
0
kevinesibwira :
Ni ukweli
2026-07-27 10:54:29
0
anastasia :
amen
2026-07-27 03:51:13
1
Ruth Zighani :
uzuri unaishi huru
2026-07-27 03:15:37
0
Neema Daudi :
ni ukweli kaka angu
2026-07-27 10:45:15
0
Elieka :
mtumishi nimemuliza maswali mengi sana mtumishi ninajua mambo mengi rohoni lakin mapito ni kamayote duniani
2026-07-27 10:38:03
0
Rehema paulo :
point sana, barikiwa sana🙏🙏🙏
2026-07-27 09:37:13
0
Ryhab :
Ukweli😭😭😭
2026-07-27 10:02:00
0
sally :
ukweli 🙏
2026-07-27 10:52:05
0
user1366155587343 :
nikweli sio lahisi hiyo wokovu ,MUNGU azidi kutupa neema
2026-07-27 09:44:07
0
josephkaingu657 :
mtumishi ayubu alipitia mazito
2026-07-27 08:23:06
1
Queen008 :
TRUE BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU
2026-07-27 10:40:44
0
white umbrella :
amen
2026-07-27 02:21:11
0
To see more videos from user @charlesmatu272, please go to the Tikwm
homepage.