@ngovi_tz: mwamba anasema enyi wanawake usimkatie tamaa mwanaume anaepumua😁

Battletv_Tz
Battletv_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 18:59:31 GMT
46470
2625
90
398

Music

Download

Comments

mimaj474
mima...J🌹🌹 :
nimvumilie badae aniache😳😳
2026-07-27 18:56:58
2
bulai.kikoti1
Bulai Kikoti :
asante
2026-07-27 09:46:16
3
mwaj2026
salama Fashion And Beauty :
najua hana ila namtaka hivo hivo nilipofukia nahitaji tu mtu wa kuniambia tulia mama utakaa sawa
2026-07-27 19:32:31
8
priscalugenge777
MAMA D :
mbona na sisi tunawavumilia ila ktk uvumilivu ma majaribu mnatukimbia na kusema yule mwanamke nuksi mbona tangu nimuache napata riziki na mambo yanaenda na tunaachwa tukiwa tumewavumilia ,
2026-07-27 21:02:41
1
dagama318
TWINS WA MAMA :
Nilishakimbiwa sikua na kitu miaka 4 iliyopita
2026-07-27 20:04:17
2
martin.a.57
SOWETO 《ML50》 :
kunamda wanaume tunapitia magum mpaka unajiuliza hivi hapa duniani tumeijia nini😢😥😢
2026-07-27 20:33:44
2
neymaramos5
SESKO MAN UNT 197🇹🇿 :
mi nimesha achwa kisa sina pesa
2026-07-27 14:13:16
4
user9443027305980
manyawa Official @.. :
me mama wa toto wangu aminiacha na jana amiolewa hapa nimebakia mwili tu lakin akili aipo
2026-07-27 18:45:20
3
mipangogallery2022ed
mipango gallery :
acha tu akate tamaa si kwel sina
2026-07-27 16:21:07
1
eduard56677
mbug tanga :
sawa mungu akujalie brooo
2026-07-27 18:13:27
2
poul25depoulpaul718
sam poul 💔 :
mi nilivumilia baada ya kupata akaenda 🥺🥺
2026-07-27 15:37:26
2
neema.eli5
Neema Eli :
nikweli kabisa kaka
2026-07-27 20:48:12
1
nihn437
user8179662597423 :
asnt san kwa ushaur et
2026-07-27 09:30:48
6
davidfans255
DAVID FANS :
kweli
2026-07-27 12:30:04
7
laizer.kamau
Laizer Kamau :
barikiwa mwamb
2026-07-27 15:08:48
3
chiefbgmailddtzdc5
Hashijr1 :
brother uko sahihi kabisa
2026-07-27 12:33:39
3
emmanuelnyambuya
Emma the boy :
point sana kaka
2026-07-27 16:18:27
2
neymaramos5
SESKO MAN UNT 197🇹🇿 :
hakika kaka
2026-07-27 14:13:04
3
yuscokabwe3
yusco kabwe :
wanaake hawa dah
2026-07-26 19:07:15
5
boywaliz2
sparklingBoss🇸🇴🇸🇦🇰🇪🇪🇹 :
kauli Safi Sana ...naikumbuka 2022 huwa nacheka Tu...
2026-07-27 03:39:35
4
official.macody
Official macody :
Daah broo umeongea pwenti sana ila wadada walio wengi hawaelewi, Wanao sema broo kaongea pwenti gonga laiki apa😳😳😳
2026-07-27 18:26:07
3
abdulaziz.athumany
🤩we the best 🌹 :
tajiri mungu pekeake👑
2026-07-27 12:37:27
4
user3170123763170
👲 :
mpaka leo sina ham na wanawakeee
2026-07-27 16:48:21
2
baraka.tugu
Baraka Tugu :
kweli babah
2026-07-27 19:13:38
2
user7498421715137
Mchungaji :
huo ni ukweli
2026-07-27 09:19:24
3
To see more videos from user @ngovi_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About