@eng.gladys: Good God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️ #JESUSFORLIFE

WOG.Gladnesssiyame
WOG.Gladnesssiyame
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 19:14:48 GMT
225173
28531
842
556

Music

Download

Comments

keku_cosmetics
keku_cosmetics :
Omba grace for visibility 📌📌
2026-08-24 11:14:14
0
user57206817629015
GRACE NEEMA.😍😘🙏 :
AMEEEEN.GLORY TO GOD.AMAIZING.OOH GOD😭😭😭
2026-08-23 18:42:01
0
cherishcomfort
Minza Maduhu :
ni mimi hapa nachekwa na madharau ya kutosha 😭😭 ila ipo ck bado sijakata tamaa 🙏
2026-07-27 13:56:55
69
jessy0676
Jeccy :
At 31 yrs ni kid no husband 😭😭😭any time naingia Kwa mausiano yanavujika bila sababu😭😭😭nikumbuke baba
2026-07-27 17:21:05
210
jullieth_7
Janelle :
MUNGU naomba unionekanie
2026-07-27 15:18:00
89
derick.odera
Derick Odera :
I will worship Him no matter the situations, He called me by name 😭😭,He chose me🙌🙌🙌
2026-07-27 16:27:17
58
daveertugrul_18
daveertugrul_ :
Mungu yupo jmn Mungu anafanya nyie 😭😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-07-27 06:50:38
67
albertrugwiza2
ALBERT 👑 :
majira ya Bwana yakiwadia hakuna wa kukuzuia
2026-07-27 05:07:28
76
divine.dee0
Divine deeblessed🇰🇪 :
😭😭this God is faithful, I will never give up
2026-07-27 15:03:06
20
mariehhappy23
🦋missmaria❤️ :
huyu ni mm kabisa 😌😭😭😭vile mungu amenifanyia hii mwaka pia wewe unayesikia kama umefika mwisho kuna mungu
2026-07-27 17:34:36
137
noeljnrkt2
@KitilaJnr :
Nachekwa me ndo first born, madogo wameoa lkn mm Mungu ingilia kati, nipe rafiki na mke mwema, Naumia at this age of 36, no child no wife yaani🙏🙏🙏
2026-08-03 15:22:59
36
user6211912260652
sarah :
Baba namm nikumbuke nime choka najiunga nahuu ushuhuda pia mm nishuhudie mana nime fika mwisho 🙏🙏🙏🙏
2026-07-27 17:48:03
24
annasaitabau353
Anna Saitabau :
walinipga vta Kila nliempata nikimleta wanamvisha maneno mabaya ananiacha nilpitia maumivu makal sana baadae Mungu akaja kunipa mume nkaolewa kifahar wakasema uyo tasa hazai Mungu akanipa wakike na wakiume wakasema hato dumu kwenye ndoa trust me Nina mwaka wa saba sasaaa Hakika Bwana aliwashangaza
2026-07-30 16:27:06
41
faymyr15
🌹Faith✨🌹 :
our God is too faithful to fail us what He says he is able and capable to do it.....He makes a way where there's no a way....just trust the process and wait for the right
2026-07-27 19:30:25
8
irenehingi
mjukuu wa fute❤️💋 :
Thanks much sister for encouraging me 🙏🙏🙏🙏 be blessed my role model
2026-07-27 06:37:42
18
lawinabeauty1
lawinabeauty1 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Na siku moja sitalia tena kwa huzuri bali nitalia kwa furaha nikisema hivi mnavoniona ni Mungu amenitendea
2026-07-27 17:50:49
9
user1352829368074
chimamy :
Najua ipo siku nami nitasimama vile Mungu amenitendea maana tunadharauliwa sana
2026-07-30 09:17:02
9
she.is.joya3
She Is Joya 🩶✝️ :
What A Testimony 🔥🔥
2026-07-26 19:48:39
9
angelmaximim
angelamaximo🥰 :
nilipo Kwa sasa nachoka naomba kama siombi nahis kukata tamaaa lakin Kuna muda nkisoma biblia zaburi ya 35 zaburi ya 91 najiona mwenye ulinzi mkubwa sana na furaha na kuona kesho yangu kubwa sana hata kama Sina hivo vyote
2026-07-29 19:29:02
8
obogeneralsupply
Alice is mom ❤️🔐 :
huyu ni mimi kabisa Mungu wetu akifanya ana fanya kwa ukubwa 🔥🔥🔥🔥
2026-07-27 03:06:38
8
witness.mwasongel
💦MomieJay🦋0623....🦋 :
Mungu wetu ni waajabu,, akili zake hazichunguziki mipango yake sio kama ya mwanadamu oooh Lord🙇😭🥹Mungu hapangiwi🙌
2026-07-27 11:25:50
10
vijorapambe_ikwriri
Vijora Pambe Ikwiriri 🔥 :
Najiungamanisha na hizi baraka🥰😍 Imefika mahali Nimechoka jaman😭😭😭😭 Ila naamini yupo Mungu … nimekusikiliza hadi nimetokwa machozi😭😭😭
2026-07-27 15:48:47
11
hawa95__
Babra :
Kuna hali ngumu naipitia sasa, lakin bado naamini Mungu atafanya tena kwenye Maisha yangu 🙏🙏
2026-07-29 03:30:15
7
jojo.de.gyal
'just call me 'Qn DETACHMENT ' :
I receive my kingdom spouse Jehovah 🙏, you're Yahweh, Messiah, savior,Creator, father all names belongs to you,what God can do no man can't ✌️
2026-07-27 16:39:44
9
kegeraleah
kegeraleah :
i'm in the same situation but i still beliver that God is faithful😭😭😭😭😭
2026-07-27 15:31:37
6
To see more videos from user @eng.gladys, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About