Acha kutisha watu ,jengeni jamani nyumba za kupanga ni changamoto sana
2026-07-30 04:50:59
2
Iddi Chengula :
uko sahih
2026-07-28 16:12:53
1
M.S. 45-67=? :
kwer kabisa
2026-07-27 14:55:57
2
Ossy Ossy :
hiyo Raman room.mkuu
2026-07-27 11:22:18
1
Allylingole :
izo nati nazipenda sana
2026-07-27 16:29:39
1
Tata Manko 💪 :
Acha kupotosha watu wewe
hata tofali zinatofautiana bei zipo za 900--1300
hata cement ipo ya kichina na ya Twiga
hata finishing inaenda tu acha kuwaogopesha vijana
2026-07-27 15:24:33
3
mathiasnkayamba :
nimekuerewa mkuu
2026-07-27 22:04:21
1
FredFredrick Msagula :
tofari pia zinatifautiana, huku kwetu tofari za kibao na za mashine zinatofautiana bei, kadhalika nondo pia kuna bs 300 na 500 bei tofauti na cement pia zinatofautiana kulingana na kampuni na gej
2026-07-28 07:32:26
0
cate ma mchungaj :
hii ramani Iko mahali pake🥰🥰
2026-07-27 10:53:52
1
Ngolo Wame :
na jipsam inajulikana msiwatishe watu kila hatua dua
2026-07-27 03:32:44
2
£6..Martin 🔐 :
lakn usingiz niuleule mkuu😂
2026-07-27 15:30:02
2
MAPESA :
mkuuu naomb hii Raman kaka
2026-07-27 09:26:27
2
Gh Hjj :
nimeipenda
2026-08-31 19:40:29
0
Mapambano Jacksoon :
Katoro 1
2026-08-01 21:32:22
0
joshua :
ko vingine bei haijulikani?
2026-08-23 04:59:33
0
Asma Ramadan :
😳😳😳Mbona mwantisha nisiitwe mama mjengo
2026-08-24 17:34:34
1
Emmanuel Makoye :
Acha kupotosha watu kaka unaujua ujenzi au unapotosha watu aliefunga beem na alie jenga bila beem wanalingana alie suka nondo na alielaza nondo wanalingana inategemea pia na lesho ya cement
2026-07-27 20:40:00
0
To see more videos from user @user32168190823486kinasa, please go to the Tikwm
homepage.