what can I say when the creation gives the best of its men, thanks to the mothers of real men
mola akuhifadhi sheikh walid mola amhifadhi Shehe Waliidi na ampe maisha mareefu
2026-07-27 19:32:23
0
jamila jamili :
a boy from Tz
2026-07-27 22:14:23
0
leilahalbu :
mashallhaaa
2026-07-27 19:23:51
0
MUNGA :
ila uyu jamaa ana vitu mno
2026-07-27 06:18:50
10
Mtwa :
Daah huyu Sheikh atatusilimisha woteeee
2026-07-27 16:50:25
5
salum mkana :
Daahh nashindwa hata niseme nini mwenyezi Mungu atujaalie maisha mema pia amjaalie shekhe wetu maisha mema.
2026-07-27 01:18:02
4
ibrahimngenge :
shekhe wetu mungu amuekee nampenda kwa ajili ya Alllah
2026-07-27 19:48:28
1
Man_tanga :
Kuna CLIP MOJA aliwahi kusema kuwa SHEKH NI MWALIMU katika MAISHA YAKO YOTE na hapa amekuwa MWALIMU HASSA na AMEWAFUNFISHA HASSSAAAA Allah azidi kuwa AFYA NJEMA na BISARA ZAIDI........Huyu ndio WALID KAWAMBWA mwanafumzi wa SHEKH MUHAMMAD Bin AYUB
2026-07-27 06:49:29
3
Dele Ally :
Mashaallah Allah akupe umri mrefu shekh na atujalie imani waislam wengneo inshallah 🤲🏽
2026-07-27 18:09:58
2
sajadi mbangali :
asante sana shekh Warid
hakika Kiongozi ukweli wa Kiongozi
2026-07-26 21:12:34
2
Kimu Suleiman Juma :
Nashukuru sana kwa nasaha hiyo.. na pia mimi hii nasaha naishi nayo kwa muda sana... na kweli naona kunatofauti kubwa kati ya umri wangu na afya yangu muonekano wangu.. inafika mahala wenzengu wananiambia mbona huzeeki? ni kwa sababu nafatana na nafsi zaidi kuliko mwili unavyotaka...
2026-07-27 05:41:46
1
user3375759709233 :
Allha akubarik sana shekh wetu
2026-07-27 06:34:34
1
jamila :
😂😂😂😂 kweli vyoo
2026-07-27 03:53:26
0
Sallimna :
Ma shaa Allah tabarakallah Allah atuhifadhie in shaa Allah 🥰
2026-07-27 11:35:17
3
mkorogo family :
mtu wa maaana kabisaa🔥
2026-07-27 09:57:41
1
Master Dony :
@NM
2026-07-26 21:37:15
2
o vunde :
Masha Allah Masha Allah
2026-07-26 21:23:49
1
aligavana :
Allah akubarik na akujazee kheri ktk maisha yko Shekhe letu.
2026-07-27 20:01:13
2
Adidja Hassan :
Mashaallah
2026-07-27 15:36:15
0
M.H. Juma :
Allah kampa elmu...
2026-07-27 13:53:00
0
Swadiq Kitwana :
mashallah
2026-07-27 19:09:18
1
samabrown :
ndomana tunampenda uyu sheikh
mana kaongea mambo ya kidunia kuusu Wanawake n mambo yake lkn ajamuacha mungu ili tujue ayo tunayopitia sio ya kidunia ila maneno ya mungu ndo tunayoish nayo..Kila kitu sisi binadamu tunachoish navyo kimwili ki afya n kimaisha ulaji vyote mungu kaongea kwenye mfumo wetu wa maisha ya dunia
2026-07-27 20:20:51
0
user6916676427414 be careful :
kumbe hii ni mpya kabisa Mwenyezi mungu Ampe umri mrefu Shekhe waridi
2026-07-27 21:52:54
0
mrisho250 :
Mashallah
2026-07-27 16:33:06
1
Sharifa ibrahim :
Allah akuhifadhi sheikh Walid Amin
2026-07-27 17:54:52
0
To see more videos from user @faza__jr, please go to the Tikwm
homepage.