@tz_gossips: Part 4. Diamond Platnumz akosea chumba Cha hospital wakati akienda kumuona mkewe ZUCHU baada ya kujifungua mtoto jinsia ya ....

Tz_gossips
Tz_gossips
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 20:18:29 GMT
445566
17479
156
239

Music

Download

Comments

officiallysiadyn1
officially siadyn🦋🦋 :
uwong siy zuchu ilooo
2026-07-27 02:12:58
1
najmah1492
Jasmine :
alienda kumuona mke wa momo
2026-07-27 04:06:36
150
zuhura.saidi72
Zuhura Saidi :
mtoto kazaliwa na bahati mashallah 🥰
2026-07-27 06:58:48
63
barbie.dolly079
BARBIE DOLLY :
sio zuchu alienda kumuona jamani nyie wambea
2026-07-27 05:06:19
29
ibrathedon45
ibra the don🔥🔥 :
muong sio kweli
2026-07-27 03:23:43
11
user1854729476157
jayp@100 :
Jamni diamond mtu poaa sana huyo mtoto Ana bahati kakutana na star bado mdogo🥰
2026-07-27 09:52:55
10
msafiri683
msafiri :
kaka kosea na kuja kwangu maana nina njaa mbaya
2026-07-27 19:03:06
10
nanduwanzelu
Nandu wanzelu :
Et nimekosea room🤣🤣🤣🙌🙌
2026-07-28 05:23:19
1
mohammad.of
Muhammad.official :
bila zuchu hutobowi kaka nyota yako iyo🥰
2026-07-28 16:40:27
1
alafinabdul
Alafin_AbduL :
laki tano ile 🫰
2026-07-26 22:02:15
7
diu_73
Big daddy :
UONGO. ONESMO SIO WA LEO
2026-07-27 02:47:10
5
user843614452811
Priscilla pk :
ibras ama nani mmesema???
2026-07-28 15:34:55
1
asef_52
Asef :
2nao amini Hawa bado wanapendana gonga like hapa
2026-07-27 08:46:15
6
koullycomedian
koully comedian🎤 :
huyo mtot anabahat sn🙏
2026-07-27 15:07:46
1
user1444615319212
Rey d3 maker :
mbon hatumuon mam wa mtoto jamm
2026-07-27 17:42:27
2
king_manuva
🤴King Manuva🤴 :
wasifanye watu watoto wadogo
2026-07-27 10:42:28
1
user24012015166984
jephinha katuta :
mtoto uyo ana bahati sana adi sasa kuna watu wa kubwa ivi wala awajawai muona diamond platnumz Live
2026-07-28 10:00:14
1
usinizowee0
Mss Ali :
watoa post muwe munapost vìtu vyauhakika mm kma mumbea munanipata shida sai nmesoma koment sote nasijapata jibu😳😳😁10/10
2026-07-27 18:08:36
5
neeh.3502
ArabianDiva 🦋📍🖤 :
wamepewa ela ila na wao so wachovu bhnaa ss wakujfungua amana tutulie fursa kama hizi tusahau 😁
2026-07-27 05:49:08
46
lavender3494
A❤️n🫰g♥️e💖l💟a💝 :
Sio Zuchu ni mke WA Ricardo
2026-07-27 08:56:50
2
facedoli_unique
🌻 L. E. A. H🌹 :
mtoto kazaliwa Na bahati jmn
2026-07-27 06:09:39
1
nafsahamis
Nafsa Hamis :
safi
2026-07-27 06:26:11
1
saumu.mvungi15
Rais wa tanga OG :
michezo
2026-07-27 04:20:08
3
beibybadrah
Baddie store🎀🛍️ :
Heeh nlijua niwazuchu
2026-07-27 06:58:25
1
To see more videos from user @tz_gossips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About