mbna basi ukajoin short distance......boxer kiboko
2026-07-27 07:22:28
1
King lyomu chelotie :
Once again
2026-07-27 07:49:36
1
KEVO BIKER 042🏍️ :
Bwana tulieni... picking ya boxer inakuanga immediately sio kama ya cg. boxer in trimming chain ilhali CG ni pushrod. Me hua na race na watu wa boxer na niko na cg keweseki. short distance wanashinda lakini long distance wanashtukanga tu nimepita
2026-07-27 08:08:25
1
sanzo :
hio bajaj ×150 iko na acceleration poa
2026-07-27 06:21:14
2
mc jmull🎤🎶254 :
weuh io boxer sio mchezo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-26 20:43:45
6
Raphael boiz :
TVs poor gear engagement
2026-07-27 06:51:27
0
@VirgitarModegai :
Damuru😁😁
2026-07-28 10:44:35
1
nightblack :
ingieni 5 km sasa
2026-07-28 10:24:04
2
kijana ya kmcu :
boxer ni picking iko nayo
mi natambua most wanted ...the moment yake imepick aiseee nakuambia ni mbaya .....sooo ekeni race iko na distance yenye kila bike itakuwa ime pick
ata ukiangalia wakianza .....boxer iko na picking kubwa
2026-07-27 05:48:26
3
still the g :
demuru sku zomborr most awezi bro yangu😂😂😅
2026-07-27 07:19:20
1
🏍️NDICHULA🪖❤️ :
hii ni type gani 🤔
2026-07-27 04:46:00
0
chief🇯🇲🇰🇪 :
hiyo distance nayo ni distance refu😂😂panga ⚔️😂
2026-07-26 20:50:39
2
CEO Spence :
Yake ashamaliza😂😆
2026-07-27 07:16:09
2
Kadere Amos :
boxer walai 💪💯 siku zote 👑👑
2026-07-27 12:29:59
1
newton ke :
pangaaa shaaaaa😭😂😂😂😂😂😂
2026-07-27 07:17:12
1
𝙊𝙡𝙪𝙤𝙘𝙝 𝙅𝙣𝙧🛠🔩 :
ushamalizaaa🙏🙏😂😂
2026-07-27 12:02:33
1
Joe man 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
kubali kushindwa.... yoo
2026-07-27 10:42:12
0
hopeseed :
yooh iyo peng ni hot 🔥🔥🔥 naitambua vinoma 😂😂😂
2026-07-26 20:47:15
1
still the g :
weeh ni mnaree wanted apigiririwe🤣🤣
2026-07-27 07:16:26
1
🇰🇪lewizoh 023 :
most anajaribu kukata upepo lakini wapi🤣🤣🤣
2026-07-26 20:52:04
4
Eutycus Muguna :
ashaa shindwa
2026-07-26 23:27:26
1
partel :
kubali broo umshindwa😂😂
2026-07-27 07:38:04
1
𝘿𝙚𝙨𝙩𝙧𝙤𝙮𝙚𝙧⚔️⚔️🔥032... :
clin shit
2026-07-27 08:03:17
1
@infinity🇰🇪 :
sasa hyo part 2 nataka umnyoroshe usiangalie hata nyuma focus kupotea kabisaa😂😂😂 kuna kitu nataka kuona
2026-07-27 07:53:40
0
Jackson Mutiso :
x kwani imekunywa ya ndege
2026-07-27 05:54:08
0
To see more videos from user @damurufast, please go to the Tikwm
homepage.