@babysarash3: Watu wamechoka jaman mmezidi uwizi jamaniii daaa

babysarash
babysarash
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 21:02:12 GMT
22784
991
66
92

Music

Download

Comments

thureyasydee
Thureya sydee :
Tanga imeharibika sku hii
2026-07-27 12:46:03
7
samsonjohn4686
Samson John :
lin hiii
2026-07-27 09:32:45
2
fettyally268
fettyally :
safi kabisa wamezidi sana
2026-07-27 12:50:52
2
babyilluh
Baby illuh🥰🥰🥰 :
lin hyo jmn mbn me mkaz w apo
2026-07-27 17:55:36
1
shabanpongweshaba
Sheby love :
Kuuliza sio ujinga kwani vishandu ndo kina nani nambieni maana mimi mtumiaji mzuri wa piki piki nisije nikafananishwa bure!
2026-07-27 11:31:10
0
sabraburhan330
Sabra :
jambo zuri mana huku barbar ya 6 na makorora washatumaliza
2026-07-27 17:05:03
1
juma40469
juma :
lini hii
2026-07-27 06:09:17
0
suzy6001675438611
suzy emma🥰 :
Safi sanaaa wanatuonea san hao
2026-07-27 05:25:05
0
lolpop3237
Queen ❤️♥️ :
wallhah wanatumiza sna hawa watu walinipiga na kunipora 🥹🥹🙌🙌😫. tumewachoka wallhah wakishikwa HATUA zichukuliwe walipoga na NILIKUA na mtt MDOGO nakunipora
2026-07-27 05:56:51
2
xlvkikosi1
thomaskomba841 :
nabado
2026-07-28 13:15:31
0
babysarash3
babysarash :
Watu wamechoka
2026-07-26 21:06:35
2
saadasuleiman548
saadasuleiman548 :
jana
2026-07-27 17:26:21
0
nguli610
DALALI NGULI🏘⏰️ :
lini iyo
2026-07-28 03:44:25
0
user8011605619013
user8011605619013bite John :
Safiiii
2026-07-27 16:20:22
0
user939815245238
shabani :
eheeee iyo ndo inafaa
2026-07-27 06:19:12
2
fatumanondo4
mamafi :
Hilo ni fundish Kwa wengn
2026-07-27 07:01:07
0
user4399515050559
Haida beauty :
Safiiiiiiiii sanaaaaaaaaaa
2026-07-27 07:18:43
0
princessmonnie426
PrincessMonnie😘🥰 :
hyo safi kazi nzuri vijana
2026-07-27 12:03:58
0
user3745386878216
Asha Mdachi :
jambo nzr sn ilo man tushachoka sana
2026-07-27 06:19:39
4
its.zahra358
its zahra :
alaf vitoto vidogo ila mambo Yao sasa subhanallah🥺
2026-07-27 16:56:00
1
roymoses76
Roy Moses :
umechoka nini kwani wewe sio mwizi watu wanaiba mapilioni ya pesa huko selikalini wakija kwenu mnawapigia makofi na kuwashangilia sana lakini mtu akikwapua kisimu cha laki mbili mnamuuwa kama sio uchizi nini watazania wengi hamjielewi yani kwenye asilimia mia ni kumi tu wanaojielewa ndiyo mana mnauwana wenyewe kwa wenyewe
2026-07-27 07:16:27
0
roymoses76
Roy Moses :
kama mnachoma pikipiki sawa mbaya ni kumzulumu mtu haki yake ya kuishi mana hata alichoiba hakina thamani ya uhai wake watazania wengi ni mambumbumbu hawajui thamani ya uhai ukumbuke ni kosa kubwa sana kumdhulumu mtu uhai wake kwa mungu na duniani kama kaiba mpeleke kwa jamuuli kazi ya jamuuli ni kumtenga na jamii ili ajilekebishe hujui kesho atakuwa nani huyo acheni kuugua ugonjwa wa afya ya akili
2026-07-27 07:11:32
0
mom.immy
official sabrah :
Kwani si wafany kaziii 😅
2026-07-26 21:50:27
0
roja.wiz
ROJER. J. M. M🧢⛎ :
mwenyewe mmemkosa
2026-07-27 10:54:09
0
ahmedkibishow5
AHMED KIBISHOW😛😛 :
vishandu ndio nnn
2026-07-27 04:37:34
0
To see more videos from user @babysarash3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About