@magariplugtz: 🚘 Hii iwaendee wote wanaomiliki Toyota Crown Athlete 2009! Elimu Bure. Watu wengi wanafikiri Crown Athlete 2009 haina Bluetooth. Ukweli ni kwamba ina Bluetooth yake ya kiwandani kwa ajili ya kuunganisha simu na kupiga/kupokea simu, na kwenye baadhi ya matoleo unaweza pia kucheza muziki kupitia Bluetooth kulingana na mfumo wa infotainment uliowekwa. Kama umekuwa ukitumia AUX au FM Transmitter bila kujua hii feature ipo, basi leo umejifunza kitu kipya. 😄 Je, wewe Crown yako Bluetooth inafanya kazi au bado hujawahi kuiunganisha? Tuambie kwenye comments. 👇 #ToyotaCrown #CrownAthlete #ToyotaCrown2009 #CrownGRS204 #4GRFSE ToyotaTZ MagariPlug CarTips ToyotaLife JDM CarsOfTanzania TanzaniaCars CarTechnology Bluetooth ElimuBure

Magariplug
Magariplug
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 21:37:30 GMT
1373
58
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @magariplugtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About