@iycsigntv: Mwana filam aunt katuma ujumbe kwa vijana wake Muusika: aunt 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
No comment acha nilie tu bad nina kidonda kibichi😭😭😭😭 na bado wakituomba msamaha tuna kubali tena kuwa nao karibu
2026-07-27 05:21:10
9
user12738651423561 :
pole ant
2026-07-27 07:41:33
0
hajraah :
bora sasa hivi sina rafiki
2026-07-27 02:17:01
13
NancyNargis🇹🇿🇨🇳🇿🇦 :
Mpka yakukute ndo utamuelewa aunt , mm yameshanikuta si marafiki tu hata ndugu zetu ha ma cousin na wengine🙌🙌🙌🙌
2026-07-27 05:05:43
2
agnesfuraha736 :
mimi rafiki mwenye nimemsaidia sanaa alitaka kuniulia kwangu😏😏sitaki rafiki tena
2026-07-27 06:43:32
1
lisabella :
pole aunt
2026-07-27 03:54:43
0
susiboy04 :
ni wivu kipenzi
2026-07-27 04:46:52
5
Ngonifaceless channel :
Adui wa Mtu ni yule wa nyumbani kwako METHALI 10:36
2026-07-27 04:41:34
3
Christiana Mhono :
mimi sina rafiki naogopa sana
2026-07-27 04:17:16
3
salmayusuph148 :
ndo unajua Leo dada
2026-07-27 05:00:45
0
nitike :
pole ulikuwa ujuwi ndo maadui woko kuazia mausiano adi kazi
2026-07-27 04:31:27
2
Anipha kevine :
sahii mm sina rafiki
2026-07-27 05:43:23
1
Mamy sarah :
Pole sana si wenzio yashatukutaga mungu tu ndie mtetezi wetu 🙏
2026-07-27 05:01:14
2
ummly😍 :
poleAdui hatoki mbali
2026-07-26 22:00:56
3
herieth cosmetics :
😂😂😂😂 ndio unajuw now
2026-07-27 05:41:20
1
Fatma Rajimbo :
ukiona mtu kaamua kusema basi tabua kuna funzo ndani yake na kuna maumivu ambayo haya hitaji doctor bali huitaji amani ya moyo mwenyezi mungu akuepushie kila umivulako kwani dunia haina pazia ila mwanadamu anavingi alivyo vificha ila mungu huvifichua na mwenyezi mungu azidi kukufungulia.
2026-07-27 05:56:39
1
Christina Wilybrod :
pole kipenzi changu
2026-07-27 04:37:01
1
Rey :
Ndio mamba
2026-07-27 08:53:26
0
saida.salim :
hapo niukweli.hata kama ex wangu ananisaidia kulea mtoto lazima nikue nae mbali kuas
2026-07-27 08:52:12
0
Mamu shabani :
pole sanaa wifi yangu Mama Nono kufanana na Zara sasa♥️
2026-07-27 08:52:03
0
damberque :
mimi moyo unavuja damu nakuelewa madam
2026-07-27 08:42:43
0
🤪BU🌴GI :
True
2026-07-27 08:29:07
0
Catherine Boniphace :
tunasubili bibiye
2026-07-27 08:38:42
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.