@mlewa_wa_joti:

official mlewa
official mlewa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 22:44:30 GMT
76683
4230
240
270

Music

Download

Comments

mamaakesahil
mrs othumani og :
Mm nafurahi sana nikiona nanyie mnalilia mapenz m kwangu pambe sana 😅😅
2026-07-27 05:39:49
55
esherdlove14
Esherdlove🥰🌹 :
kwn mnakua mnafata nini jmn😂😂
2026-07-27 02:15:17
81
fatuma.fatu7
official fetty :
mbona Mimi nimefurah au Mimi mchawi😂😂😂👌
2026-07-27 11:51:00
7
.crochet.wth.passi
Bright future🤗 :
sisterhood
2026-07-27 08:15:40
0
user48796657140944
shania :
am feeling pain on his behalf guys.not easy for him.
2026-07-27 07:49:33
0
johnmagarikahama
john magari kahama :
Wangu alinialika nikamwambia nikija uniite Mbwa 😁
2026-07-27 03:51:08
27
lucia.benedict2
Lucia Benedict :
nimepata wazoo
2026-07-27 07:56:59
11
silentqueen..255
Girl ❤️😍Mourine :
still on my bucket list 😅😅😅😁kama hii tu
2026-07-27 06:53:13
0
mariamnyambwa426
Mumymarlni💪🙏♥️ :
ulienda kufanya nn sasa
2026-07-27 02:38:34
12
kuryagirl4
Lydia :
Ndo maana mm Sina mpenz huu ujinga siutaki Bora nilie nikikosa pesa
2026-07-27 04:50:05
22
pytlissa2
lissa❤️💍 :
kila penzi litaonja umauti😂😂 mwanamke akikuthamin na kukupenda kwa dhat tulia😂😂💔
2026-07-27 08:04:31
9
slimgirl926
slim girl🍀❤️ :
Ndo ukubwa me mwenzako nilialikwa kwenye harusi nafika ukumbini namkuta mzazi mwenzangu anamuoa mtu ambae alikua anajua mahusiano yetu mpaka Leo nguo walionishonea ipo kabatini naiuza jmn😂
2026-07-27 01:06:05
15
y.t.z72
MR YTZ🇹🇿 :
kumbe tupo wegi😂😂😂
2026-07-27 01:52:33
8
kapende.jr
kapende jr :
biashara ya mapenzi haijawahi kumuacha mtu salama
2026-07-27 07:42:45
5
n.a7607
naya🥰 :
sasa alienda kufanya nini?
2026-07-27 06:03:11
4
anitha2769
anitha :
pole njoo unioe mm ila sjasoma
2026-07-27 08:17:47
3
inctime5
Jáñé🌹 :
What I love seeing 😂😂 am I toxic guys?😂😂
2026-07-27 07:28:52
2
hawasaddy
hawaa :
pole kaka utapata anayekupenda😢❤️‍🩹
2026-07-27 01:26:56
7
user583454738272
user583454738272 :
kumbe tupo wengi San inaumiza pole kak jikaze
2026-07-27 04:32:40
5
halimasalumu56
h kama h❤ h2🌹 :
😂😂😂mapenz shikamoo🙌🙌
2026-07-26 23:52:07
5
mwamba.mpole
Mwamba mpole :
da aisee nimejisikia vibaya sana
2026-07-27 05:19:04
1
fatumanondo4
mamafi :
kumbe nyie pia mnaumia
2026-07-27 10:03:38
2
mom.nollan
mom nollan❤️ :
ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakatii wakeee
2026-07-27 08:09:46
2
dalali_ngikatheboy_shy
dalali ngikatheboy shinyanga :
😁😁😁😁😁 Daaa hamuwezi kuaelewaaa
2026-07-27 06:38:47
1
djkimtagu1
Dj kimtagu user8437546120517 :
duuh pole san man ndio ivyo atuna pesa ila kikubwa usikate tamaa man tutafut pesa man🥲👊👊👊
2026-07-27 12:47:24
1
To see more videos from user @mlewa_wa_joti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About