@chidycaprone: Nothing is guaranteed in your life’s even your own breath so don’t take it for granted #zanzibartiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #jamaicantiktok🇯🇲viral #ghaniantiktok🇬🇭🇬🇭🇬🇭 #jambianibeach
kifo ni lazima its a process of life after your birth 😃
2026-07-27 12:28:28
2
Bin Ausiy :
oyaaa mkali points,
amali zako ndio utazikwa nazo
2026-07-28 12:08:44
1
mikidadiofwe :
mungu mkali ata gari Moja hajaenda nayo ukiwa na akili utafahami kwamba mbora wenu mbele ya Allwa ni yule atakaeipa mgongo Dunia hii Dunia Haina samani tafuta hela miliki Kila kitu ila utarudi kama ulivyozaliwa hukuja na kitu na utaondoka huchukuwi kitu na ulichokiacha duniani kama Cha heri kitakufaa ila kama uliacha mabaa basi nawe utapata haki yako
2026-07-27 16:06:03
7
Tress :
Rip 😭😭😭💔💔uncle Fred
2026-07-27 15:25:23
6
FIRE EXTINGUISHER TANZANIA :
DAH KWELI 😭😭😭😭
2026-07-27 09:03:56
1
Feisal fkm general supply :
bro salute 🫡 kwa kuanza iyo Bismillah cz ata ungetoa salam si wotee pia wangeliitikiaa lkn kwa hili kumtanguliza mola wetu 🫡 lkn kubwaa kubwaaa hili nalichukuaa na wenzangu walichukuee kwambaa tunaendaaa NYANDAA MOJA TU😢😢😢 Allah atujalie mwisho ulo mwemaa yaaarab
2026-07-29 19:25:25
1
Nufeyla :
uhakika
2026-07-27 08:29:51
3
mohaa Adan gacal. :
Kwa kweli dunia tunapita tu.. Huko mbele ndio mahesabu..
2026-07-27 08:49:13
2
Chuse Nation :
Nomaa
2026-07-28 15:57:36
1
To see more videos from user @chidycaprone, please go to the Tikwm
homepage.