Hivi mim cjui ni mzima Kuna mtu uku dar nilianziasha mahusiano nae akaa nza kuniita mamtu mala mke wangu nikamblock yaan simpendi kuitwa hivyo 😂😂😂
2026-07-27 09:21:55
15
Amina mrope :
Moja kwa Moja status 😂😂😂
2026-07-27 07:24:56
9
Erick_tz 🧢 :
tena Huwa romantic kweli hao watu mara utasikia mke wang mzr 😂🤣🫣🙌🏻🏃♂️
2026-07-27 09:01:28
5
suleyman 🫶 :
ndo mana tiktok na mim forever napata raha kwenda mbelee
2026-07-27 09:48:08
10
Howw.a :
🤣🤣🤣🤣🤣 waambie wanatukera San ila tunashindwa kuwaambia to
2026-07-27 09:48:23
13
rahma :
sijui Ni mtagi MTU jamani Maan nimechoka Na hilo swali🤣🤣
2026-07-27 06:17:29
19
da ney :
hata mm sipendi yaan li mtu kazi tu kukuita majina ya ajabu et mke wakat Hela halitoi yanakera hayo
2026-09-03 09:35:27
1
grace dickson :
jmn wapo wanaving'ang'anizi atali
2026-07-27 11:32:43
4
Bint chiccotz1🇹🇿 :
Ahsant kaka 🌹🌹🌹🌹
2026-07-27 08:51:36
2
jovithavicent :
🤣🤣🤣🤣🤣 kunywa soda ya bariiidi bili kwangu
2026-07-27 19:03:35
2
Francis Laurent :
🤣 mbona unanisema Mimi bro
2026-07-27 19:36:37
2
Mayna Pemba :
moja kwa moja status 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 17:01:15
5
Maasai Og :
kula hiyo who kula hiyo which🤣🤣🤣
2026-07-27 21:05:46
1
Mama Ayaan :
Alaf kuna hawa wengne wakikuona online wanatuma msg mfululizo alaf analalamika kwann hujib ma nnakuona online sasa nakujib kwa vocha ya nan
2026-07-27 07:54:40
7
Loveness♥️♥️ :
bola ata umesema😂😂
2026-07-27 08:53:09
10
veee🥰 :
bora umetusemea🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 08:08:35
3
mimah :
Wakela sana
2026-07-27 08:27:49
3
queen Linnah 🌹 :
ongeza sauti jmn hawajasikiaaaa
2026-07-27 08:32:16
4
gladness lukumay :
niulize mm bas mnake sina hata wakuniuliza umelala au umeamka achna na uyo wa umekula mm nakutka wew
2026-07-27 11:10:47
3
sarah :
sijui ujumbe umemfikia
2026-07-27 14:34:47
1
dayana mushy :
nachokaga mimi😅😅😅
2026-07-27 08:41:42
1
Djuma Sharufa :
Wambieeeee kwanza
2026-07-27 11:42:25
1
merry 😍💞 :
nakupendaa buraaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-27 18:35:47
2
nuu store 965 :
moja kwa moja status maninaaa anikomeeee😏😏😏😂
2026-07-27 07:13:42
1
mariammpunga :
Utakuta mti anakuuliza mbona uko kimya sn hata simu haupigi, nikituma meseji haunijibu, hapo hajawahi kujutumia hata pesa ya meseji bado analaumu haumpigii cm alaaaaaah!😳😳😳
2026-07-27 09:09:57
1
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm
homepage.