Sio Kwa ubaya ila jua policy inasemaje hizi complaints zinadawati lake sometimes unaweza ambiwa umewachafua na ukaburuzwa mahakamani. kabla hujaposti Kwa bundle lako fuata taratibu jaza fomu ya malalamiko kisha tulia
2026-07-27 07:29:07
64
magodoro mbeya :
Hii unaita yakawaida, gari ya zaidi ya 700M๐
2026-07-27 15:33:38
56
LaNeZ :
Acha Ally's iitwe Ally's
2026-07-28 00:42:21
0
๐ frank :
kwanza abiria huaga hawana jema pia Kuna matatzo ya kibinaadam yanatokea hayakwepeki so sometimes shukuru MUNGU kwa uzima hayo ya kuharibikiwa na gari hata iwe imetoka ulaya Leo inaweza haribikanpia coz zimetengenezwa na binaadam wewe binadam tuu ambae umetumbwa na MUNGU lakin waweza shinda mzima ukalala upo mgonjwa msiwe mnalalamika jamani kwenye changamoto za kibinaadam
2026-07-27 16:46:16
35
wiseโ๏ธ :
GOG FIRST ๐ฅ๐ฅ
2026-07-27 20:59:38
0
Emma Labile :
dar-mwanza pandemic allys star
2026-07-27 20:38:38
0
Mjukuu Wa Mbwiga Mgo :
mbona V.I.P kama regular
2026-07-27 18:01:12
0
Barageti_10๐น๐ฟ :
๐๐๐ eti gari ya kawaida
2026-07-27 18:45:58
8
DEE.. :
Hiyo sio mbovu ni dharula, Unaposema mbovu unakosea
2026-07-27 08:41:18
13
it's... B-boy๐,, :
hayo ni makosa au tunaweza sema ni dharura maana hawakukusudia kufanya hivyo na kampuni kubwa kama hiyo haiwez kukosea abilia wake ko ni swala la dhalula tu sio vzr kusema ivyo ....
2026-07-27 15:23:42
11
MJ_17 :
hapo sio soko kuu ni parking ya shell ya afroil igunga
Kampuni inawajali sana hyo ๐คฃ๐คฃ Kikawaida gari ikiharibika inatakiwa yasizidi masaa 120/siku 5 bila kufaulishwa.. Sasa kama mmepata gari wamewapendelea sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-07-27 16:02:25
8
SONGA_RAYโค๏ธ :
Ww si umeshasikia ni ajar tayar Ko kuna mtu alijuwa yatatokea Aya
2026-07-27 23:29:05
1
12:00๐ต๐ท :
Ndege hukuziona? Kwa magari emergency ni kitu cha kawaida
2026-07-27 20:38:07
0
Erasmi Mtui :
gari kuharibika haimaanishi kwamba ni bovu. Kuharibika kwa gari ni dharula iliyo nje ya uwezo wao ndiomana wamewaletea gari lingine la kuendelea na safari.
2026-07-27 18:44:02
1
Canstar :
Hii hua inatokea kama zarula tu! Kikubwa mufike salama na hujui kuharibika kwa gari kume epusha kitu gani. Ningependa kumalizia kwa kusema tujifunze kushuru kwa kila jambo sababu hakuna dereva anae penda gari iharibike njiani.
2026-07-27 07:15:34
6
Luogirl๐น :
yani katarama sjui zimepatwa na nn๐ฅบ
2026-07-27 20:46:24
0
Mmongoli og๐น๐ฟ :
Sijawahi kuielewa hii kampuni ๐๐
2026-07-27 18:26:33
3
Frey walex :
Huwa inatokea bahati mbaya
2026-07-27 08:58:35
0
Mekant Used Itemsโ :
Dada Unajua gar ww bora uchlewa ushukur Mungu unaongea Lawama Hio gari napnda sana mm
2026-07-27 09:46:11
1
joseh manase :
unachokifanya siyo sahihi unachafua biashara ya mtu
2026-07-27 15:34:12
1
#baba myrla :
msitetee makampuni ya mabasi
abiria anatakiwa afike safari yake kwa wakati
hapo ni wakati wa wamiliki kuleta magari bora na sio kutetea ndio maana hatuna ushindani wa soko la usafirishaji kwa mabasi
2026-07-27 14:21:05
0
To see more videos from user @255_cardib, please go to the Tikwm
homepage.