@ibrahim_nyange: #pyfツviral #tiktanzania🇹🇿 #zilipendwa #trendingvideo #pyfツviral_❤

Ibrahim Nyange
Ibrahim Nyange
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 06:28:11 GMT
104173
3373
159
683

Music

Download

Comments

khairat.fakih
khairat fakih :
watu wa miaka ya70 mpooo
2026-08-03 06:08:08
12
pumba.luxury.camp
Pumba luxury Camps :
sikilizeni ujumbe siyo kila siku nyimbo zisizokua na maadili
2026-08-01 07:53:40
5
salamachoyo
bi.Choy :
watoto wa 2000 hawazijui hiz
2026-08-02 18:19:14
6
mt...com
MT . COM :
2000 watupishe kidogo
2026-08-05 04:58:53
1
mbalawala
Mutu ya Mugodi :
talented Marijani Rajab
2026-08-02 07:11:23
4
frank.william1214
Frank William :
nyange Jina la wimbo unaitwaje
2026-08-01 20:54:36
3
salimsalimmakame
salimsalim0364 :
hao ndio wasanii hasa, kila kitu kipo manual hapo. hakuna cha computerized hapo. sio wasanii wa kuchovya.
2026-07-28 16:36:57
11
mwaka308said
mamyto :
nilikuwa nasikia my late dad na hizi music🤣
2026-08-05 16:29:07
1
mquire9
Mquire :
Nimetagiwa na rafiki yangu nisikilize nyimbo za zamani kuna mbaba anazipatia..kumbe shem safi sana unaweza unaweza sana
2026-08-14 16:33:18
0
suleimanhaji678
Samour :
Nisahihi Nyimbo za zamani ila mpaka leo inakibalika na inaeda na wakati.
2026-08-02 18:38:05
2
user428694859020
prezdarkimbao. Tz :
big up kamanda upo vizuri unatupatia wahenga enzi zetu za ddc magomen kondoa 🤣🤣🤣
2026-08-06 16:57:46
0
apple_masterstore
apple_masterstore :
Et mbona masikitiko
2026-08-02 07:30:07
0
baghabagha.ingwen
Baghabagha Ing'weng'we :
unayaweza pokea 5
2026-07-29 19:38:09
0
hassan.lichinga3
Hassan Lichinga :
ujumbe unaoishi
2026-07-27 16:57:32
0
makonde.designer
MAKONDE designer :
NYANGE bwenga umetishaaaaaaa
2026-07-27 08:14:50
0
user7617556166969
happy Fabian :
unajua babaaaa
2026-07-29 13:51:09
0
mamubyena
Mrs Jawad💞 :
hatariiiiiiii🥰
2026-07-27 16:37:48
0
habib20265y
habibi :
Hii nyimbo inaitwaje
2026-07-30 20:00:02
0
user7916560952538
user7916560952538 :
Vyakale dhahabu #kuna mengi ya kujifunza @♤Asante Brother Nyange♤
2026-08-04 20:09:36
1
mwalimu.mkuu77
Mwalimu Mkuu@77 :
unaimba nyimbo za mjomba ako sema mjomba ako alikua mtu mwema sana enzi hizo pale Masika 😁
2026-07-27 08:41:20
1
jumamtulia261
Juma Mtulia :
Umetisha👍👍👍👍👍♥️♥️
2026-07-31 21:58:45
1
robert.richard703
Robert Richard :
Kula tano m2 wangu umenikumbusha mbali!
2026-07-27 08:25:49
0
rajababdallah768
Rajab Abdallah :
Marijani Wajina/somo
2026-08-03 20:37:24
1
call.me.warda6
General marijan :
marijan Rajab wakati wa uhai wake
2026-07-28 23:05:01
1
mwanailatu1
mwanailatu :
bwana mashaka hapa alikutaniza na songombingo la mwajuma🔥🔥
2026-09-08 14:01:32
1
To see more videos from user @ibrahim_nyange, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About