@mabere.malale:

Mabere Malale
Mabere Malale
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 06:47:49 GMT
58180
2424
122
144

Music

Download

Comments

user2024693531330
shedson :
ajira hTun sa tufanyje
2026-08-25 11:53:17
4
princess.ammy14
Princess ❣️Ammy 🤴💃 :
Tunaomba part two please 😂😂😂😂😂
2026-08-26 08:50:31
0
happynesspeter3
happyness :
Mwaka jana mwezi wa tisa waliniibia milioni moja na laki 2 ambayo nilijichanga ili nimpeleke mama yangu hospital kila nikikumbuka nilimpoteza mama yangu sababu ya hawa matapeli nahisi maumivu makali sana 😭😭😭😭
2026-08-24 22:24:15
72
juniorjunior0o
Junior :
tatizo munawatajia namba ya siri bhana
2026-08-25 15:20:45
11
joycesimon377
joycesimon377 :
mimi waliniibia walikopa nivushe elf 42000 sin hata ham nao
2026-08-25 13:56:08
11
ibu56561
Ibu 56 :
ukitaka kusajiliwa laini ni Bora uende duka la mtandao husika lililoko karib na wew, hawa watu uwaminifu ni mdogo sana
2026-08-25 07:01:01
8
user3609588172550
Michael :
hata mkewangu alishaibiwa laki 8 na hao wasajiri laini
2026-08-25 12:08:06
5
omydulla_01
omydulla_01 :
pata laini bure na vocha bure watanzania tuamke ulishajiuliza laini wanatoa wapi? na wanapata faida ipi? na hizo vocha za bure wanapata wapi?
2026-08-25 12:23:47
6
soni..tz
Soni..tz🌟 :
ajila akuna ndy waibie wenzao c wakaibie selekal kama wanaweza,,, uyo c kijana kabsa nguvu anayo c apambane kialali sema tamaa,,wanaludisha watu nyuma kimaendeleo,,
2026-08-25 12:19:16
5
young.d837
young D :
kama serikali haitoi ajila vijana wafanyaje na hawana mitaji💵💵💵💵.Gonga like apo na slikali ituone vijana
2026-08-25 09:44:29
9
jeplas.asher4
Jeplas Asher :
Kwani kusajil lain na namba yasil vinausiana wapi wateja wenyewe hamjielewi
2026-08-26 17:19:12
1
k2.mnyamwez
ASHILAFU BASHIRU :
uwaaa2 uyoo
2026-08-25 14:28:27
2
the.moon9436
THE MOON :
huyu jamaa kama namfaham
2026-08-25 10:44:38
4
kizzychronicles
🎅 kizzy :
maelezo ya nn kwanini msimchome hata bisi bisi za macho
2026-08-26 07:49:51
2
suzy.suzy6263
zysu@hardware plus Tz :
yaani wamemuibia mt milion.4.hawa siwapendi
2026-08-25 06:19:23
1
madam.anna2
BINT SAYUNI 🥰 :
mim kwa ushauri wangu naona bora mtu uende uko kwenye shop za mitandao man mtaaan apan kuna dada aliibiwa na nimjane na zile pesa zimetolewa benk yan walitoa kwa nyia ya sim benk yan 😭😭 na ndio yalikuwa mirathi ya mmewe 😭
2026-08-25 13:52:01
3
jay2024lan
miss ray :
anafurahisha kma sio kaka ako
2026-08-25 18:58:52
0
user9807009008698
user9807009008698 :
daah mawakala bhana
2026-08-25 11:17:08
2
elizabethntandu6
leezabeth29🇿🇦 :
kashaaribu brand ya mtandao wangu aghaa aghaa🤣🤣🤣
2026-08-26 20:37:18
1
k.kingunge
LIKWETEKWE75 :
aje apa kwangu anisajilie laini
2026-08-25 12:50:50
2
leopoldsimon386
leopold simon :
jamani sauti😳😳😳😳
2026-08-25 09:01:45
2
luge.maua
Luge Maua :
yeye anatoaje namba ya siri yake
2026-08-08 11:02:36
3
user4203678365779
MiriamMaincha :
Mkoa gani?
2026-08-26 08:22:13
1
To see more videos from user @mabere.malale, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About