@atuganilemwakosya: TANZIA💔😭 Tumepokea taarifa za kutwaliwa kwa Mchg. Sylvanus Abel Msuya wa KKKT Dayosisi ya Mwanga, aliyeitwa Mbinguni jioni ya leo Julai 26, 2026 akiwa anapatiwa matibabu Dar es Salaam. Askofu wa Dayosisi ya Mwanga, Dkt. Daniel Mono, amethibitisha taarifa hizi kupitia ujumbe mfupi kwa Watumishi na Wakristo wote wa Dayosisi hiyo na kwamba taarifa zaidi kuhusu msiba huo, zitatolewa kesho. Atumedia tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huu. BWANA ametoa na Bwana ametwaa, Jina BWANA lihimidiwe 🙏🏽 #Atumedia #jesusisking

Atumedia Gospel Tv
Atumedia Gospel Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 07:06:13 GMT
29066
1289
52
142

Music

Download

Comments

user5956144336390
babyg1011 :
RIP Pastor Msuya😭😭
2026-07-27 14:39:44
0
tecla7173
Tecla❤️ :
Rest in peace Sylvanus🕊️🕊️
2026-07-27 14:05:59
0
betricelaizer
Mama jjjj :
Rest in peace Mtumishi
2026-07-27 18:17:04
0
helenluli8
Helen Luli :
rest in peace
2026-07-27 16:19:54
0
pereskamugisha877
peres :
rip pastor
2026-07-27 18:20:41
0
user20239993415263
lovie❤💋 :
Rest in peace
2026-07-27 13:49:19
0
neema.lema87
Neema lema :
Raha ya milele umpe ee Bwana🙏🏻
2026-07-27 13:14:52
4
formsix5
formsix :
MUNGU akupe Raha ya milele mchungaji 😭😭😭
2026-07-27 12:01:49
6
sallyboss282
Sally Boss :
umeenda haraka rest in peace life is a mystery
2026-07-27 12:47:38
2
user9300777506155
Marivan :
Daaah ctaki kuamin jmn 😭😭😭pumzika salama baba
2026-07-27 11:17:13
3
grace.juma55
@MissG🥰🥰🥰 :
R.I.P😭😭😭
2026-07-27 18:31:00
0
happyuronu
happyuronu🥰🥰 :
mungu akupe raha ya milele mchungaji wangu
2026-07-27 17:21:36
1
yumna...ham3
MG 43 :
polen san
2026-07-27 19:42:04
0
hericia.mteki
Hericia Mteki :
nimeumia sana daah
2026-07-27 11:02:36
1
debolahrichad
Debora richard :
pumzika kwa amani
2026-07-27 18:39:10
0
annastella.gasper
Annastella Gasper :
Pumzika kwa amani
2026-07-27 18:21:25
0
stella.mlay4
Stella Mlay :
RIP Mchungaji.
2026-07-27 18:44:12
0
helenagodson
Helena Godson :
pumzika kwaamani
2026-07-27 16:55:01
0
sarahernest100
Sarah Ernest :
hv ni kweli?
2026-07-27 20:01:48
0
user4486008217169
user4486008217169 :
Pumzika kwa amani Baba Mchungaji
2026-07-27 16:30:56
0
annamalekela
anna :
pumzika kwa amani
2026-07-27 18:00:30
0
user4069453610438
user4069453610438 :
pumzika kwe aman baba
2026-07-27 17:25:41
0
user110786733035
isack kileo :
wamtumainio bwana wanao uzima wa milele.... pumzika kwa amani, pole wanafamilia, Wana kkkt, baba askofu, wakuu wa majimbo, dayosisi, na kkkt kwa ujumla
2026-07-27 20:02:44
1
user5990609522621
11-2-2026 :
mung amlaz mahar pem
2026-07-27 17:00:55
0
user1075299000321
Nem Max. ll :
pumnzika kwa amni mchungaji mwema😭
2026-07-27 18:25:57
0
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About