@bbcnewsswahili: Saratani ya matiti kwa wanaume bado haieleweki vizuri katika jamii nyingi barani Afrika. Watu wengi huamini kuwa ni ugonjwa unaowapata wanawake pekee, hali inayochangia unyanyapaa, aibu na kuchelewa kwa uchunguzi na matibabu kwa wanaume wanaoupata. Ramadhan Musa kutoka Dar es Salaam, Tanzania, amemsimulia @marthasaranga uzoefu wake, baada ya kugundulika na ugonjwa wa saratani ya matiti,safari ya matibabu na hadi kupona. - - #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #afya #fypシ゚viral