Aisee mbona kama unanisema mimi bro! barikiwa sana 🙌 nilidhani niko peke yangu namuomba sana "MWENYEZI MUNGU" akubariki, Amen 🙏 🙌 👏 ❤
2026-07-27 11:48:45
1
CHONDE gang 26 for Life 👊🤜👊 :
duuu
2026-07-27 14:35:28
0
Frnc2610 🦂 :
Unatuchanganya kama kwenye hiyo changanoto na wewe kwa namna moja ama nyingine una husika why usielekezwe kwanza hapo ulipo kosea kwa uwazi na ukiambiwa ukweli aimaanishi unalaumiwa na ukimueleza mtu wa karibu yako mfano wa hao ulio wataja sidhani kama uo ni ushauri labda kwa wengineo
2026-07-27 17:57:44
0
To see more videos from user @dulyfacts, please go to the Tikwm
homepage.