@djabbahboyunaatariwewe: #fyppppppppppppppppppppppp #djabbahboy_unaatariwewe #viral #fypシ゚ #swahilitiktok @SINGELI TRENDING 🎶

djabbahboy unaatariwewe🔹🔹♐
djabbahboy unaatariwewe🔹🔹♐
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 09:07:32 GMT
161330
8255
1583
2216

Music

Download

Comments

s.h.a.m.i.m.a.82
💝💖 Tanga girl🧕 :
tangu October 29 tupigane wenyew kwa wenyew mpaka leo hatupo saw akili zetu
2026-07-27 20:44:46
585
whizzie6
🍀WHIZZIE🧸👑 :
Kuna m2 kasema et taifa let 2li format
2026-07-27 14:29:56
396
qnxao11
🌸Qnxao❤️ :
Unalala unaamka umesha toa ngoma 😁😁
2026-07-27 11:18:11
249
ishaamiri
Hababarugaiyaa ❤️💖 :
ivi ukitaka kujitoa Tanzania unabonyeza ngap
2026-07-27 16:38:23
718
user3991555259013
Official Mag 🕊️ :
Hii nchi tokea Rais kajichagua mwenyewe ndo siku akili za watu zilipotea khaaa🤣
2026-07-28 08:55:13
127
gwantana113
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
hii nchi tuiscreen shot tuitume watsap 🤣🤣
2026-07-27 14:38:36
1
happymchao
Miss Happyness..💓 :
Niongee kwa kusimama au nikaeee...🙌🙌
2026-07-27 16:24:12
91
og.eshar.baby
user5304462106940 :
jamn nani anifundishe ku update taifa😊😊
2026-07-28 19:54:26
1
lufundi.official
Mr Focus🚫 :
Hii nchi kuna mahali imetoboka😂😂😂
2026-07-28 16:56:30
41
qam_518
qam_🌍⚡🍁 :
this is TANZANIA 🙌GUYS
2026-07-28 17:26:04
0
jasmineharuna633
♌ONE SISTER 🧚ZURNAT🧚🦁 :
🤣🤣🤣mumlipee
2026-07-27 16:39:46
1
arinu26
official arinu baby :
nishusheniii
2026-07-27 14:28:21
1
benny.dizzo
benny dizzo :
wasoma comments tume pigwa pigo jamani😂😂
2026-07-27 21:03:34
47
nita_tz721
nita_tz💚💛 :
mi nimecheka mtajua wenyewe😂😂
2026-07-28 05:54:24
31
jayselemani
jaycomedian 🎬🎞️😂 :
mama katoa ngoma na hajui kama ametoa ngoma
2026-07-27 11:54:18
37
bebyrey50
rey :
ila binadamu khaaaa
2026-07-28 04:37:29
5
reydimpozy96
reydimpozy :
ukifika sehemu ukaona vilio vya watu vinafanywa challenge shuka hapohapo ushafika Tanzania😅😅
2026-07-27 18:59:21
27
mainda.mussa
Mainda Mussa :
Hapa duniani kila mtu anakipaji
2026-07-27 16:32:30
41
manase7724
zaituni :
Nyerere angetuacha tukawa watumwa tu huko tuliko kuwa maana tumekuwa na uhuru wakujiamulia ujinga
2026-07-28 05:52:06
70
chimamy.wady
❣️🇴🇲 Semaji la gulf ❣️🇦🇪🤪 :
ana trend bila kutegemea 😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-27 15:46:28
97
cuteyxouh1
cutey xouh🥀🥀 :
nyerere umeona wa2 uliokua unawataftia uhuru
2026-07-28 15:05:48
7
chamimah_07
💫mimah jey🌼 :
jaman kwa staili hii tutakuw makin tukiw misiban
2026-07-27 17:41:37
71
To see more videos from user @djabbahboyunaatariwewe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About