@isack.pate: ❤️ Kama una mtu aliyefanya maisha yako yawe na maana zaidi, usisubiri kesho kumwambia. Wakati mwingine maneno machache yanaacha kumbukumbu ya maisha. 💬 Mtaje au mtumie mtu ambaye amebadilisha maisha yako kwa njia nzuri. 🌹 Kwa manukato yanayoacha hisia nzuri kila unapokutana na mtu unayempenda, tembelea @britt's_perfume.tz. Harufu za kudumu, ubora wa hali ya juu na bei rafiki. #Mapenzi #LoveQuotes #TrueLove #RelationshipGoals #BrittsPerfumeTZ