cjui kwann siziamini ndege za nchi yangu,,maana hazichelewi kuingia baharini namajariwa kashaondoka hajulikani halipo itakuwaje.
2026-07-27 15:16:51
15
Leocardia🇹🇿 "" "🇾🇪🇾🇪 :
Mm na Ethiopia hamna wakunitenganisha
2026-07-27 15:31:56
9
pambana :
kir tafazali
2026-07-27 16:57:40
0
Emmy 🥰🥰 :
Yani Nchi yetu Tanzania kila pahali wanatukandamiza naskia inability kidogo sana kwa nn jaman na wanajua sisi Mashaghala tunabeba hadi makoronya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 17:06:38
5
Twaiba🇹🇿❤🇴🇲 :
Nimeipenda Ila imani sina jaman😂😂😂
2026-07-27 16:05:22
3
user3154355193096 :
japo imetoka home ila mimi siwezi kosa Oman Air Kwa kweli
2026-07-27 15:09:43
3
Mariam :
kwani ina kilo ngapi
2026-07-27 16:07:05
1
lovely girl♥️ :
🤣🤣 hakika ni kilo tuu siwezi kurudi Tz bila kobus Oman mimi na gibin
2026-07-27 16:53:58
2
💕ONLY 💕 :
tutakula magimbi mpka muscat 🤣🤣🤣
2026-07-27 16:40:17
2
🇹🇿🇴🇲 annastaziaboniphac0 :
Tunaomba mtuongezee kilo maana tunabeba malonya lonya mpaka zambi za waarabu tutabeba🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 18:58:19
2
Wardah🥰 :
sasa mbona hawatangazi kilo ngapi nabei ngapi
2026-07-27 15:42:06
1
Hamida salum :
mnamajarib nyie na roho zetu 😂😂
2026-07-27 17:28:16
1
habint :
2027 mpoo chuma hiyo ya kuludi nayo ili tuonje mafao yetu ya kodi😂😂🥰
2026-07-27 17:47:38
1
Ahmed Nasser :
kg mhimu
2026-07-27 17:35:02
1
najg juma :
Tupo🫡
2026-07-27 14:13:07
1
rukaiya :
Air tz mwisho kilo ngap jmn
2026-07-27 18:20:59
0
FARHAT MALIK🇴🇲to🇹🇿💕 :
Mimi oman air sijapanda na Emirati lkn Qatar tayari etihad tayari Ethiopia tayari hii Tanzania air nitapanda hata nikiwa Tanzania kwenda mkoani lkn oman nataka niipande this time tuone uzuri wake
2026-07-27 16:53:01
1
Da aisha :
ila Mimi haipo kwenye moyo wangu kwakifupi Sina Imani nayooo
2026-07-27 16:26:04
1
sasha :
kabisa🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 15:47:03
1
Zaylisa Rashid :
yan mm na air Tanzania bhna nyumbn ni nyumbn nyinyi hata ukiwa ugali na kisamvu tunaishi humo🤣🤣🤣
2026-07-27 17:29:23
1
amara :
Ah hata mimi Ethiopian siwezi ikosoka nikupigie photo na video pale 😂😂😂
2026-07-27 14:54:55
1
To see more videos from user @monyswwets, please go to the Tikwm
homepage.